Wazazi;watoto wananunuliwa hospitali

Wazazi;watoto wananunuliwa hospitali

Hard drive

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
265
Reaction score
62
Hlw hbr jf, Hivi nn kinawafanya wazazi wengi kuwaambia watoto zao hasa wa miaka (3) mpaka 7 pindi wanapowauliza juu ya mtoto alozaliwa utasikia; TUMEMNUNUA hospitali....
Mi huwa nashangaa sana kwani hakuna njia nyingine ya kumjibu mtoto huyo.....
 
Because its the most easiest and understandable answer kwa watoto, ila kwa mimi sikuambiwa hivyo kuhusu kuzaliwa kwa wadogo zangu.
 
Hakyamungu ckiz tunariharibu sana hili jukwaa
 
Back
Top Bottom