Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Imekuwa ni kama desturi sasa, unakuta mtu unataka kuoa/kuolewa umempata mpenzi wako mnapendana. Unaenda kwa wazazi kujieleza nimepata mchumba anatokea mkoa fulani ni wa kabila fulani...
Basi hapo ukitaja kabila tu weeeeeehh!! Utaona wanavyoanza kukugwaya... Utasikia oa/ olewa kwingine kote ila sio huko.... Usithubutuu...
Ila sasa ukipata mzungu ata hawaulizi ni dini gani wala kabila gani watakupongeza mnooooo
Sasa najiuliza ni kweli watu wa kabila moja huwa wanafanana tabiaa au ni kasumba tu za Ki Africa... Maana kwa upande wangu mpaka sasa nimeshapigwa biti niko njia panda....
Naombeni experience ya hili wajuzi wa mambo....