R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,098 Reaction score 54,372 May 8, 2021 Thread starter #81 Mshana Jr said: Ni Mnyankole wa Katoro Click to expand... Katoro geita au
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,379 Reaction score 30,354 May 8, 2021 #82 My Son drink water said: Yaani hilo Bwege la kitutsi unasema lina akili nyingi? History yake hii hapa [emoji116] Bashiru alizaliwa Rwanda,na Baba mtusi na mama Mganda,(Baganda) akiwa na miezi Tisa, wazazi wake walivuka mpaka na kuingia Kagera ili kutafuta maisha, Click to expand... Mbona wako wengi tu, hamsemi!
My Son drink water said: Yaani hilo Bwege la kitutsi unasema lina akili nyingi? History yake hii hapa [emoji116] Bashiru alizaliwa Rwanda,na Baba mtusi na mama Mganda,(Baganda) akiwa na miezi Tisa, wazazi wake walivuka mpaka na kuingia Kagera ili kutafuta maisha, Click to expand... Mbona wako wengi tu, hamsemi!
R road master JF-Expert Member Joined Jun 11, 2020 Posts 2,064 Reaction score 3,021 May 23, 2021 #83 Kijana wa jana said: Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu. Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali. Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda. Click to expand... Yani mungu kumuondoa jiwe alifanya kitu cha maana kwa kua alileta vitu vya ajabu sana aisee !!
Kijana wa jana said: Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu. Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali. Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda. Click to expand... Yani mungu kumuondoa jiwe alifanya kitu cha maana kwa kua alileta vitu vya ajabu sana aisee !!
R road master JF-Expert Member Joined Jun 11, 2020 Posts 2,064 Reaction score 3,021 May 23, 2021 #84 0ozg Tz said: Hakika huyu ni mnyarwanda Click to expand... Hilo dubuwasha LA kufukuza kabisa hapa nchini
0ozg Tz said: Hakika huyu ni mnyarwanda Click to expand... Hilo dubuwasha LA kufukuza kabisa hapa nchini
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,387 Reaction score 195,223 May 23, 2021 #85 Natumae mleta mada ulipata muongozo...
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 8,094 Reaction score 7,852 May 23, 2021 #86 Torque vs HP said: Huyu ni mwenyeji wa Somalia na ameshawahi kua naibu waziri wa ulinzi wa Tz. Click to expand... Una uhakika na unayoyasema au ndiyo tena majungu? Mtu kuwa na asili ya pahali fulani siyo dhambi katika nchi hii, lakini ukisema ni mwenyeji wa nchi fulani hiyo ni tafauti.
Torque vs HP said: Huyu ni mwenyeji wa Somalia na ameshawahi kua naibu waziri wa ulinzi wa Tz. Click to expand... Una uhakika na unayoyasema au ndiyo tena majungu? Mtu kuwa na asili ya pahali fulani siyo dhambi katika nchi hii, lakini ukisema ni mwenyeji wa nchi fulani hiyo ni tafauti.