Wazazi na walezi someni hii

Schoolbook

Member
Aug 31, 2011
27
5
Unaweza sasa kuzijua shule nyingi zaidi na wasifu wake kupitia wavuti inayoitwa Schoolbook Classic, ambayo imejitolea kukusanya wasifu wa shule zote dunia na kukupa wewe mtanzania na raia wengine, kupata kuzijua shule mbalimbali iliusibabaike unapotafuta shule nzuri kwa mwanao. Pia unaweza kukutana na wasambazaji mbalimbali wa vifaa vya mashule, na utapata kuwajua wote na anuani zao. Zaidi tembelea Schoolbook Classic | Homepage au bofya hapa. Nirahisi kutumia na Bure kabisaa. Jaribu ujionee tofauti leo na uwebarozi wetu duniani kote. Aksante
 
Kuwe na shule zenye maadili kuanzia viongozi mpaka wanafunzi, sio kama Baobab girls mwalimu anampa mimba mwanafunzi halafu uongozi wa shule ndio unashiriki kuitoa mimba ili wakwepe aibu.
 
Back
Top Bottom