Wazazi fwatilieni nyendo za watoto

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
708
wanapotoka au kuelekea shule hakikisheni mnawawezesha na kuwafundisha kupita na kutumia vymbo salama, siku akidondoka ukaitwa muhimbili kuchukua maiti usilie.

gomzi.jpg

uswaz.jpg
 
Watoto wa kiume katika umri huo ni headache! Unaweza kuta anayo nauli ya kutosha tu lakini....watamjuaje kama na yeye "mjanja"! But, if I try to reflect back, I was doing just the same as these kids! Tuombe mungu tu!
 
utoto raha kweli hawana habari kwamba kuna baya laweza tokea....unaweza kuta amepiwa hela ya nauli ameshakula barafu na bumunda inabidi hali iwe kama hivyo
 
utoto raha kweli hawana habari kwamba kuna baya laweza tokea....unaweza kuta amepiwa hela ya nauli ameshakula barafu na bumunda inabidi hali iwe kama hivyo

Kama una watoto hasa wa kiume kama mimi .. saa nyingine ukiangalia michezo yao roho inalipuka...sema nikikumbuka na mimi... i was just doing the same... nunda....
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Na wazazi angalieni maneno yakuandika kwenye daladala, sasa huoni hilo limeandikwa nini hapo chini na mlitegemea nini kutoka kwangu????
 
Watoto wengine ni pasua kichwa..ona sasa hapo usishangae unapewa kesi.
 
Back
Top Bottom