Wazanzibari, website yenu inatia kinyaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari, website yenu inatia kinyaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crucifix, Sep 16, 2011.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nilikwenda huko kutafuta nakala ya katiba ya Zanzibar, nilichokuta katika mtandao wa serikali (Home - Zanzibar Government) page za kiswahili na kiingereza zikiwa na vichwa vya habari visivyobeba taarifa yoyote. (blank pages) Mwenye katiba ya Zanzibar anisaidie link.

  © 2011 Zanzibar Government. All rights are reserved. Updated May 19, 201

  Inatia aibu
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu, kama una haraka nitumie email yako, nikutumie... Najaribu kui upload hapa ila naona inachukuwa mda mrefu kidogo

  jjosy2000@gmail.com
   
 3. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wizara husika haina wataalamu? Wasiogope kuja Bara kupata utaalamu au consultations
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  usiwaseme vibaya wafiwa ni mwiko
   
 5. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  tayari nimekutumia email
   
 6. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  sasa ukiwa mfiwa ndio hata simu hupokea nami sehemu ya matanga siijui yakhe!
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  A
  Angalia email yako mkuu.
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu they need help.
   
Loading...