Wazanzibari tujuane humu

Naona mnaanza kutuchokonoa na vimaneno ili mradi tuongee tupigwe bani enyii wabaguzi kutoka kisiwa chenye elements za rainbow


Wenyewe wanakwambia #Sharewithpride
 
Habari ndugu zangu mumeambajee natumai nyote mpo salama

Haya mm ni kijana wa kipemba GOMBANI ila ninaishi dar es salaam . Ningependa kuwa tambua ndugu zangu wengine mliojiunga humu tufahamiane tu.
Yakhee kwema huko nyuma utokako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom