hayo maneno waambie wasiopajua Zanzibar nimeizunguka Unguja na Pemba hasa maeneo ya vijiji hapana tofauti na maeneo Kilwa Kivinje,Mingoyo Lindi na Msata,nyumba za makuti kwa udongo zipo kibao
Wiki iliyopita nilikuwa Zanzibar, nimeona waMeru na Wasukuma wamekaa huko kwa zaidi ya miaka kumi, na wengine wanajaza boti kwenda huko.
Choyo kisitutie upofu.
Alaaaa kumbe!!
Ndiyo ulienda kupeleka mahari?
Mahari mbona tushapeleka, tulipeleka mkoja tu.
Michango ya harusi inatakiwa.
Hio inaonesha wanavochapa kazi nyie lalamikeni tuuu!!!! Hata ije passport tutakata hio passport na tutakuja haijalishi
zenji kuna chakula? Zenji ni njaa kali
Wanaokaa huko wote ni machogo jamaa zenu hao ,maana huku hawadaiwi kodi.hayo maneno waambie wasiopajua Zanzibar nimeizunguka Unguja na Pemba hasa maeneo ya vijiji hapana tofauti na maeneo Kilwa Kivinje,Mingoyo Lindi na Msata,nyumba za makuti kwa udongo zipo kibao
Wa zanzibar wanaoingia bara ni wengi kuliko mikoa yoote ya Bara.
Ebu angalieni kama
kama kwenye meli moja wako wa zanzibara 200 wanaotoka bara kwenda znz je? Ni meli ngapi huenda znz kwa siku?
Hii inamaanisha kwamba wa zanzibar wanaingia bara zaidi kuliko wabara wanavyokwenda znz
Je wanaotaka tuvunje muungano hawa ndg zao watakuwa wanaenda wapi?
Ktk mikoa yoote ya bara 26 hakuna wanaokuja dar kama wazanzibari.
Hivi muungano ukivunjika ina maana wazanzibar wanatakiwa kurudi znz? are u sure, try to think wisely
Utabaki kuhesabu tu kuna almasi lulu zaabu ,nyumbani huna hata TV ,nyumbani huna hata redio ,nyumbani nyumba dongo juu nyasi ,wewe umebaki tuna zaabu ,lulu na almac ,Zanzibar nyumba zote umeme ,nyumba zote Tv nyumba zote bati ,nyumba zote redio nyumba zote watu wanakula wanashiba ,muungano umetufikisha pabaya.