Tujiulize nini? Wao si wanataka kiti, kwanini wasianzie ndaniPengine maswali hayo hayo uliyoyauliza kuhusu Zanzibar tujiulize na sisi Tanganyika vivyo hivyo kwa nini imekuwa hivyo.
Ifike hatua tukaachie kanchi kaende kwani tuna hasara gani? Badala ya kujadili mambo ya msingi tunakaa mara oo bara wa Airtel Tigo,na Voda, sisi tuna zantel tu, ni upumbavu
Nani kawazuia?Ukikataliwa penzi usibake!!
Kwanini tusiwaache waishi maisha yao, naona huu muungano sisi wa bara ndio km tunaufosi vile.
Dodoma ndo makao makuu ya UN?
Pascal Katiririka vizuri ila Kufananisha na blaa blaa za Kabudi Umemkosea sana Pascal..Pascal umetiririka vizuri kama Today's Professor Kabudi.!
Wacha niishie hapo
toka zako.... huu muungano wabara ndio tunaforce utake usitake na inaonekana wazenj hawajawah ridhia huu ushenz from day 1Kujifurahisha kisheria kwa vijikesi kesi na vijipetition rukhsa, hala hala msije kuwachangisha watu pesa za wakili, kwa sababu hakuna kesi hapo!.
Rejea.
- Tanzania is one country, URT, a sovereign state, hakuna anayeweza kuingilia mambo yetu ya ndani, sio mahakama yoyote ya nje sio UN.
- Muungano wetu ni union, sio federation, tumeungana tumekuwa kitu kimoja, URT, hakuna tena nchi inayoitwa Tanganyika, hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, zote zili surrender their sovereignty na kuunda nchi moja ya Tanzania.
- Jamuhuri ya Tanganyika is dead, haiwezi kufufuliwa, na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pia is dead, haiwezi kufufuliwa.
- Zanzibar iliyopo sio nchi, ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani, hakuna sehemu yoyote ya JMT, inayoweza kwenda popote, kudai kutaka kujimega toka JMT!.
- Muungano wetu sio wa merger, yaani sio wa kuunganisha, kiasi utasema tutaumega, muungano wetu ni wa fussing, kama chemical reaction ya two chemical zika undergoes a chemical reaction na kuunda a new compound, hakuna tena process ya kuirudisha into its original forms.
- Muungano wetu ni wa milele, zile articles of union, zili provide kuungana tuu na hakuna kuachana!.
- Kwa vile muungano haukufanyiwa ratification kwa upande wa Zanzibar, then jengeni hoja ya kufanya ratification sasa kupitia BLW, ndipo likatae ku ratifying mseme Zanzibar wamekataa.
- Kwa vile muungano ni wa watu, na Zanzibar wana sheria ya kura ya maoni, wawaulize Wanzanzibar, wakisema hawautaki muungano, then watumieni wawakilishi wenu kupitia BLW litoe azimio, mlilete kwenye Bunge la JMT, lijadiliwe, na sisi Tanzania tuulizwe, tukikubali, ndipo sasa itungwe sheria ya kuuvunja muungano, tugawane fito.
- Muungano unaweza kumalizwa kwa kuundwa mahakama ya katiba ndio yenye uwezo wa kuuzungumza muungano wetu na sio UN.
- Kwa vile kiasili Zanzibar, ni sehemu ya Tanganyika/Tanzania iliomegeka miaka mingi nyuma, then ni Tanzania pekee ndie mwamuzi wa mwisho, airuhusu Zanzibar iende au la sio UN.
Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!. - JamiiForums
Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!. - JamiiForums
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani? - JamiiForums
P.
Kwenye neno toka zako, jibu lake ni asante,toka zako.... huu muungano wabara ndio tunaforce utake usitake na inaonekana wazenj hawajawah ridhia huu ushenz from day 1
Sio wanara ni CCMUkikataliwa penzi usibake!!
Kwanini tusiwaache waishi maisha yao, naona huu muungano sisi wa bara ndio km tunaufosi vile.
sasa bwana wewe unadhani ni kwanini wenzetu kila siku ni kulalamikia kua huu muungano hauwafai!? kwann sisi ndio pekee ambao tunakomalia kua unamanufaa!? hapo suala la situation kabla ya muungano halina mashiko cha msingi ni wote turidhie bas..... kwa inavyoonekana huu muungano ulikuwepo kwa ajili ya kulinda maslah mapana ya wakubwa huko ughaibuni thats why hakuna rais ambae hua anajihusisha kwa lolote na process zinazoweza kupelekea kuvunjika kwa hii ndoa.Kwenye neno toka zako, jibu lake ni asante,
Jee unakijua chanzo cha muungano?. Je unaijua the situation in Zanzibar kipindi cha muungano?. Kama muungano unauita ushenzi, hicho chanzo utakiita nini?.
P.
Pata muda piga darasa mitaa hiisasa bwana wewe unadhani ni kwanini wenzetu kila siku ni kulalamikia kua huu muungano hauwafai!? kwann sisi ndio pekee ambao tunakomalia kua unamanufaa!? hapo suala la situation kabla ya muungano halina mashiko cha msingi ni wote turidhie bas..... kwa inavyoonekana huu muungano ulikuwepo kwa ajili ya kulinda maslah mapana ya wakubwa huko ughaibuni thats why hakuna rais ambae hua anajihusisha kwa lolote na process zinazoweza kupelekea kuvunjika kwa hii ndoa.
sawa bossPata muda piga darasa mitaa hii
Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!. - JamiiForums
P.
Huko unakokusema ni marufuku kuijadili Zanzibar kwa namna ya kuhoji uhalali wowote !!Tujiulize nini? Wao si wanataka kiti, kwanini wasianzie ndani
Wana VP mzanzibar, wajumbe wa NEC-CCM, Bunge n.k. mbona hawafikishi madai yao
Lini umewasikia wakijadili ndani ya baraza la wawakilishi
Wao walishaamua kama wananchi tatizo ni kiapo cha maraisi, kuwa nitaulinda muungano. Hilo neno ndio huwa kifungu. Kumbuka kiapo ni kiapo hilo ndio tatizo.Wazanzibari chokochoko haziishi.
Amueni moja na muwe serious.Sio staki nataka,siku zinaenda