palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
Updates.......
WanaCCM wamefurika kwenye mkutano na wanahamasika sana.
tupo pamoja kamanda. asante kwa updates
Updates.......
WanaCCM wamefurika kwenye mkutano na wanahamasika sana.
Sasa ni Mansoor anamwaga mambo...
Mansoor: Sikubaliani na mfumo wa muungano wa CCM...katiba ya Sitta haitavuka bahari kuja Zanzibar.Nitapambana mpaka mwisho.
Seif Sharif: Hatuitaki katiba.
Anasema kuwa hawezi kujiuzulu umakamu wa rais.Anasema kuwa katiba ya Sitta haikuwahi kujadiliwa Zanzibar hivyo aliyosema Shein ni uwongo na ni yake mwenyewe.
Mzee sharif kukataa kujitoa kwenye SUK ni kuwasaliti UKAWA waliokataa posho na kujitoa kwenye bunge la katiba,yeye kwann anabaki huko serikalini kula posho??
Mzee sharif kukataa kujitoa kwenye SUK ni kuwasaliti UKAWA waliokataa posho na kujitoa kwenye bunge la katiba,yeye kwann anabaki huko serikalini kula posho??