Wazanzibar wawasili Bara kwa wingi

Yani nyie Wazanzibar dawa yao ni kumtafuta Mzee Komandoo na Mzee Mahita kisha waambiwe kifanyike nini kutibu tatizo hili kwa kuwa jibu la tatizo hilo watu hao wanalo.
 
PROPAGANDA HIZO
mimi nipo zanzibar kwa sasa,kuna wahuni wachache ndio wanachoma makanisa pia hata mabaa wana mwaga pombe kwenye maghala hata magesti pia yanachomwa moto yale yanayotumika kwa ajili ya biashara ya ngono lakini uamsho hawahusiki kabisa wamesema,ila panapo jambo hutokea jambo,kiufupi uislamu umekua ukipingwa kwa hiyo sio ajbu kwa sasa watu kubadili mada ilia kuulazimisha muungano ambapo huku zanzibar kila mtu hautaki.KUNA USEMI HUKU UKIULIZA HATA MTOTO MDOGO.UNAUTAKA WEWEE UTAJIBIWA SIUTAKI KABISAA.
 
Wee chiziii wacha uongo wako huo au ndio propaganda zenu ili muoneshe kuwa Wazanzibari tunaipenda Tanganyika, kwa hili hujafanikiwa tafuta jengine la kuzua usitupotoshe wenzako.

Ndo hayoo mara kanisa limechomwa, cjui watanganyika watakiwa wahame Zenji, ilimradi kujitukuza, cheki magazeti ya leo mmeweka mpaka picha za kughushi kwenye Tz Daima khaaa!!!!

We mzaire (Mkongomani) umefuata nini huku katika siasa za Tanzania?
 
Last edited by a moderator:
Wee chiziii wacha uongo wako huo au ndio propaganda zenu ili muoneshe kuwa Wazanzibari tunaipenda Tanganyika, kwa hili hujafanikiwa tafuta jengine la kuzua usitupotoshe wenzako.

Ndo hayoo mara kanisa limechomwa, cjui watanganyika watakiwa wahame Zenji, ilimradi kujitukuza, cheki magazeti ya leo mmeweka mpaka picha za kughushi kwenye Tz Daima khaaa!!!!

WAZNZ mumejaa kariakoo, ilala, magomeni, kigamboni, etc mngekuwa hampapendi Tz bara si mngeanza kuondoka kurudi znz....?????
 
Napata shida kuamini kama kweli wa-zanzibari wanaweza kufanya hayo bila ya kupata support ya upofu kutoka nje ya mipaka yao. Inawezekana wamekumbatia baadhi ya watu wasioitakia mema nchi yao. Watulie watafakari wajichambue watagundua kuwa miongoni mwao wanao wasio wenzao. Hata mapinduzi ya zanzibar yalifanikishwa na akina OKELO- ni Manda huyo! Nahisi kitu kama hicho kinajirudia bila wao kujua!
 
Nina marafiki zangu wa ki Zanzibar wengi sana hata maeneo ninayoishi wako wengi sana. Kuna wengine walienda kwao muda mrefu leo nimewaona wengi kweli wanawasili! Nikajiuliza si hawataki muungano huku wanataka nini tena?.

Toa pumba hizo...

Sasa unataka Tanganyika iwe na Muungano na kila nchi ambayo raia zake wanaisha Tanganyika? Hapo Kuna wakenya, waganda, wasomali,warundi, wakongo,wanigeria,wachina na mataifa mengine. Hivi unajua maana ya muungano?
 
Yani nyie Wazanzibar dawa yao ni kumtafuta Mzee Komandoo na Mzee Mahita kisha waambiwe kifanyike nini kutibu tatizo hili kwa kuwa jibu la tatizo hilo watu hao wanalo.

Hizo zama zimekwisha...hawa polisi ambao wameletwa kutoka Tanganyika , tunawangalia kwa macho manne...kwa kila mzanzibari atakae uwawa na mwanajeshi au polisi wa kitanganyika ,basi mtanganyika vile vile atauwawa... hizi sio zama za kutishana...
 
Back
Top Bottom