Wazanzibar wanatuchafua Watanganyika

Wazanzibar wanatuchafua Watanganyika

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
367
Matukio ya tindikali zanzibar na mauaji yanatuchafua pia watanganyika maana kimataifa inalipotiwa kama Tanzania ambayo 90% mataifa yanaitambua kuwa ni Tanganyika.

Wazanzibar mbadilike bwana.
 
Zanzibar ni kitovu cha ugaidi. Bila Tanganyika Osama angeweka kambi yake Zanzibar
 
Wameshasema wanataka nchi yao! !!!!

Ngoja watuzamishe ndo tutajua
 
Mauaji ya Mholanzi Serengeti! Mauaji ya mwanamke wa ki-Canada yaliyofanywa na mtoto wa Kiarusha aliyekuwa akimsaidia huko Arusha! mauaji ya Albino...

Siku nyingi sana wazanzibari kama wangekuwa na akili finyu kama za kwako basi wangeshafungua thread "Watanganyika wanatuchafua Wazanzibari"
 
Mods hiv ndivyo vitu vya kuondoa kwani zinafanya ndugu zetu wa zanzibar waone kuna mgawanyiko, si kuondoa zinazomkashifu sliaa tu
 
Zanzibar ni kitovu cha ugaidi. Bila Tanganyika Osama angeweka kambi yake Zanzibar
Serwa yangu ni kama ifuatavyo:
1. Sasa hivi kila siku wanakamatwa watanzania kuanzia wawili na kuendelea kila kona ya dunia, wanakamatwa na madawa ya kulevya, na wanaondokea pale dar airport; hii sio ‘news' wala aibu wala kuvunja amani na utulivu. Ni sawa, so long wamefanya watanganyika. Mpaka Rais wa nchi, Kikwete amekaa kimyaaaaa, kama hakuna kitu.
2. Kuna makontena mengi ya madawa ya kuelvya yamekamatwa nchi Fulani (xxx) yametokea bandari ya dar na mengine Zenj (serikali zote mbili, kimyaaaaaaaa), hili ni la jana na juzi tu, sio yale ya miaka ileeeee. La hasha, jana na leo Bob Ally.
3. Kuna wafanyabiashara wanapigwa risasi kama mithili ya kuuwa popo, na yule mhadhir wa UDSM jana tu, ameuwawa kikatili (polisi kimya, na Said Mwema bado ni IGP) though haya yote yanamgusa yeye moja kwa moja na Nchimbi bado anabaki kama waziri wa mambo ya ndani. Nakumbuka Mwinyi, Natepe na wengine wengi walijiuzulu kw amakosa madogo madogo tu, seuze kama haya.
4. Sheikh mmoja ametiwa acid kule Arusha (nadhanu arumeru) kimyaaaa.
5. Intelligence ya hapa na polisi yake, imejifunga pahala pamoja tu: Uamsho au udini - kwa nini wasiende mbali katika uchunguzi wao (watuambie cause ya mauwaji wa padre Evarist Mushi, kupigwa risasi kwa padre Mkendo, na hawa waingereza wawili: nini kinaendelea ndaini ya kanisa hapa Zanzibar, kwani makosa wanafanya ‘muslim extremists tu, je, hakuna extremism katika christianinty, au hakuna dirty game ndani ya kanisa, foul play……..)? hebu polisi mtuambie mlinasa nini siku ya maziko ya padre Mushi (funueni pazia kidogo tujue): ukimya wa taasisi zetu ndio inafanya wengine tuendelee kuwa na shaka na utendaji wenu.
6. Mfanya baishara dar ametiwa acid, jana yule tajiir wa mererani pia alipigwa risasi ishirini - polisi kimyaaaaa, na bado Said Mwema yupo, bado nchimbi yupo…….hee jamani huu uoza umeanza top-down ndani ya uendeshaji wa serikali.
7. tukumbuke kuwa tumeruhusu ‘vikundi' viovu vingi hapa Zanzibar kwa jina la ‘vyama vya siasa', na tusisahau kuwa tumekuwa na eti na polisi jamii kila kona hapa Zanzibar, lakini uhalifu unazidi? kwa nini, na hasa mji mkongwe…..hawa polisi jamii ni nani, tumewaamini vipi - sawa ‘trust them, but also control them', tumewaachilia sana, na hasa mji mkongwe, mpaka sasa wameota pembe wanakusanya kodi, malipo kila kona ya mji under different names. Tunaachilia uzoa wa kila aina katika jamii yetu, matokeo yake ndio haya. Tumeruhusu uvunjaji wa sharia, sasa tunavuna matokeo yake. n.k n.k n.k nk………
 
Ghibuu leo kichwa kimetulia!kwa kweli nakuunga mkono mengi uliyoongea na hasa hili la polisi jamii.inatengeneza organized crime kati ya polisi na raia wahalifu.tusiwe theoretical.tunapoanzisha jambo tutazame matokeo yake na sio kubaki tunaimba uzuri wake mdomoni na huku kiuhalisia linatuletea madhara.
 
Matukio ya tindikali zanzibar na mauaji yanatuchafua pia watanganyika maana kimataifa inalipotiwa kama Tanzania ambayo 90% mataifa yanaitambua kuwa ni Tanganyika. Wazanzibar mbadilike bwana
Islamic culture is no doubt satanic
 
Mauaji ya Mholanzi Serengeti! Mauaji ya mwanamke wa ki-Canada yaliyofanywa na mtoto wa Kiarusha aliyekuwa akimsaidia huko Arusha! mauaji ya Albino...

Siku nyingi sana wazanzibari kama wangekuwa na akili finyu kama za kwako basi wangeshafungua thread "Watanganyika wanatuchafua Wazanzibari"
Muongezee na mauaji ya Daudi Mwangosi, utekaji na utesaji wa Dr Ulimboka na Kibanda vyote hivyo vimefanyika Tanzania Bara aka Tanganyika...Watuhumiwa wakuu wa ufisadi walioingia mikataba kwenye dhahabu, almasi, ges, makaa ya mawe,, chuma, nickel, uranium na hata tanzanite inayopatikana Tanzania pekee wako Bara...
Muda si mrefu itabainika kuwa waliofanya unyama huu ni wabara wenye nia ya kuichafua znz...hata mauaji ya Padre Mushi mbona inajulikana yaliratibiwa Bara? mauaji ya askari yalifanywa na askari kutoka bara...watu wana data za kutosha kuwa mnafanya hila ili kuwakwamisha Uamsho wasidai haki za wazanzibar... mnasema mkitaka kumuua mbwa eti mnampa jina baya kwanza... shame on U....Zanzibar imekuwa kisiwa cha amani na maraha na itaendelea kwa miongo kadhaa kuwa hivyo! Besides hao wadada mbona inaonekana kama na wao ni wahusika? waangalie vizuri kabla ya kukurupuka!!!
 
nachukia watu wanafiki kama huyu mleta mada, yaaniwatu Arusha wameuwawa kwa kupigwa mabomu na polisi, balozi wa papa kakoswa koswa bomu je ilikuwa Zanzibar au yeye haichafui nchi...
 
Wazanzibar ni mzigo.
Kwani mwigulu naye ni mzanzibari? Mwigulu ndiye anaichafua nchi kwa kuzunguka nchi nzima kutangazia dunia kuwa Tanzania kuna ugaidi.Hata yule jaji mwadilifu aliyewafutia mashtaka feki ya ugaidi makada wa Chadema alitoa angalizo kuwa hii tabia ya kuwapakazia watu mashtaka feki ya ugaidi inalichafua taifa.
 
avatar35165_10.gif
GHIBUU leo umeamka vizuri sana au ni sikukuu?
Hapo kweli umeonesha kuwa ni makini ukitoka kuswali maana hii Nchi inaenda pabaya sana sasa
Kuuawa kwa risasi kwa Mhadhiri wa UDSM, mwingine Arusha huko Mirerani
Kukamatwa na Unga S. Africka, Thailand, HongKong nk
Kunatia mashaka kuliko hata hiyo ya Walimu wa Kiingereza Zanzibar mm nina shaka na zile surusli na vitop walivyovyaa.
Serikali ya Zanzibar sasa waweke wazi kuwa Mavazi yzsiyofaa wakati wa mfungo ni marufuku huenda ikasaidia.
Hebu wawatafute hao watu, maana wa Padri na Sheikh wameshashindikana
SIKUKUU NJEMA Ustadhi
 
Last edited by a moderator:
avatar35165_10.gif
GHIBUU leo umeamka vizuri sana au ni sikukuu?
Hapo kweli umeonesha kuwa ni makini ukitoka kuswali maana hii Nchi inaenda pabaya sana sasa
Kuuawa kwa risasi kwa Mhadhiri wa UDSM, mwingine Arusha huko Mirerani
Kukamatwa na Unga S. Africka, Thailand, HongKong nk
Kunatia mashaka kuliko hata hiyo ya Walimu wa Kiingereza Zanzibar mm nina shaka na zile surusli na vitop walivyovyaa.
Serikali ya Zanzibar sasa waweke wazi kuwa Mavazi yzsiyofaa wakati wa mfungo ni marufuku huenda ikasaidia.
Hebu wawatafute hao watu, maana wa Padri na Sheikh wameshashindikana
SIKUKUU NJEMA Ustadhi

Kama mtakumbuka mada moja hapa ililetwa eti wamasai huko Kendwa na Nungwi Zanzibar askari police wanawakamata,kwa kuwa hawana hati maalum ya kutembea na watalii, eti suala hili limechukuliwa kama ubaguzi.

Jee munaona athari hizi za wageni ? Naunga mkono jeshi la police kuwasaka ma TOUR GUIDE wote ambao hawana vibali maalum, hata wale wanaofanya biashara kwa watalii vile vile ili kulinda wageni wetu, mimi nipo Uwengereza kwa sasa, najisikia aibu kusema kuwa ni mzanzibari kwa kuchafuliwa jina nchi yangu, hata hivyo najisikia aibu kusema mtanzania, kutokana na aibu na kashfa ya madawa ya kulevyaa.

Ninaposafiri na passport ya Tanzania, natiwa madole mpaka matakoni kuangaliwa kama nina madawa ya kulevya, aaaibuuu jamani. Nitafurahi na JK akifanyiwa hivyo hapa UK au duniani kote ili ajue majumu yake.
 
Hivi mauaji yanayotokea Tanganyika na madudu mengine chungu nzima huyaoni? Sifagilii yaliyojiri kule Zenj lakini sasa hivi nchi yote tu imeoza hakuna kwenye ahueni si Z'bar au Tanganyika.

Matukio ya tindikali zanzibar na mauaji yanatuchafua pia watanganyika maana kimataifa inalipotiwa kama Tanzania ambayo 90% mataifa yanaitambua kuwa ni Tanganyika.

Wazanzibar mbadilike bwana.
 
Back
Top Bottom