Wazamiaji wa miaka ya 90

Watu wanapambana asee.

. Ila kurudi nyuma ni udwanzi .mbele kwa mbele ndo mpango.
 
Kwa maelezo inaonesha muhusika Ni wewe
 
Kwa maelezo inaonesha muhusika Ni wewe
Mimi mwakahuu mwezi wa nane ndipo nafikisha miaka 31, so do your maths utajua nisingeweza kuzamia kipindi hicho nilikuwa na umri mdogo.
Najua unashangaa kwanini nina details nyingi za hii stori, ni kwamba alitaka kuandika kitabu aka narrate mimi nikawa nasikiliza nakichapa ila baadae aghairi. Na ni kitu ambacho nikikaa naye lazima anipe kisa flani so ni story ambazo nimezisikia sana kwa kujirudia mara kibao
 
Dah, hivi ukitolewa korodani mambo yanafanyika "freshi" tu?!
 
naunga mkono kabisa huwez kunishawish eti wale walibya weupe kwamba n waafrika hakunagaaa yaan mm ule ukanda wooteee wa akina algeria, libya,tunisia n.k cjawahi kuamin kama n waafrika wenzetyu. Rangi yyte nyeupe haijawah kumpenda mwafrika mweusi.
Na huu ndio ukweli wenyewe.. mkuu ukienda kwenye maduka ya waarabu ni wachache sana wanaokua fair kwa ngozi nyeusi, achilia wadada wa kazi, hao miaka ya nyuma niliwahi shuhudia kwa jirani mdada wa kazi anasubiri wale kwanza wao halafu kile wanachobakisha wanakusanya ndio anakula yule dada, hii kitu mpaka Leo hua inani pain sana sana
 
Ktk maisha haya ya wasafiri wenye roho ngumu now wamebaki Ethiopians tu,,,
hawa jamaa niliona story yao Fulani kwenye channel 24 ya France..
jamaa wanatembea kwa miguu hadi Yemen,,halafu wanatembea tena kwa miguu hadi saudia,,,

duu,,hyo safari ni hatari,,wanakwambiya wanatoka Ethiopia ,na inakuwa ni kwa miguu ,,,hadi Djibouti..
hapo wanaingia Yemen kwa mitumbwi...
halafu wanaitafuta Saudi Arabia kwa miguu,,..

siku nilipoona story zao za utafutaji maisha hadi kufika Yemen to Saudi.... Nilijiona cha mtoto kabisa,,

tena wanakwambiya wanaanza safari wakiwa watu kama 40 wanawake na wanaume,,
Lakini wanafika Yemen labda wapo 20 tu au watu 30 tu..hao wengine wamekufa njiani,,

either kwa njaa au kuliwa na Wanyama wakali au maradhi,,,,.
safari yao hadi kufika Yemeni ni miezi 3..wanaishi kwa kula vyakula vya kwenye mapipa na makombo ya Chakula cha hotel..wakifika Yemen inawalazimu kuhangaika tena kupata pesa kuingia kujikimu na kupata nguvu zingine kabla ya kuanza safari ingine ya Saudi Arabia,,,

na kufika Saudi Arabia itawalazimu tena mwezi,,,na safari yao kwa ujumla inawagharimu kama miezi 6 kutoka ethiopia ,,kufika yemen na kuishi hapo yemen hadi kufika saudia ,,.

hawa jamaa nimewavika kofia na vyeo vya chuma kwa roho ngumu..njiani wanawake wanabakwa..wao wanakufa mfano kugongwa na magari maana wanatembea pembeni ya barabara kuu wakifata magari yanapoelekea....

uzuri ninkwamba hawa jamaa wana heshimu sana pesa,,wengi ni matajiri wakimiliki maduka makubwa ya nguo na super markets....popote waendapo,,

kuanzia south Africa Hata huko kwengineko.,...
 
Endelea kutupa visa mbali mbali mkuu, uzi unachangamka huu
 
Equador ni mji au nchi ?
 
Ndy hapo inakuwa shida,,,maana unaposema gay wazungu wanamaanisha shoga,,sasa uwe mende au shoga ,,,au ,,,wote ni group moja,,,sasa bahati upate punga akupende,,,,umong'onyoe ..kama wewe ukipendwa na mende basi hesabu maumivu,,,maana jamaa atalalamika mbona shoga lenyewe hataki KUGEGEDWA au hatafunwi?hapo utashindwa vigezo mkuu...,,lazima uliwe au uwe mende ili upate makaratasi kwa urahisi
sasa mzee ukifake kwamba ww ni gay wakakutafutia patner vp utatoa tigo au inakuwaje hapo
mara 100 nbaki bongo asee
 
Haaaaa Haaaaa, uwe na hela ya maana umtafute black kule mfunge ndoa huku then akualike kule kama mke wake,
Baadaye mapeana divorce,. Maisha yanaendelea.
Kule kazi zipo sana, hela inaingia vizuri maana Unaweza fanya kazi mbili tofauti
Napataje connection na black wa kike. Ili act kuwa mke wangu ?
 
Daaah
Hivi gay ni yule anayeliwa au anayekula ?
 
naunga mkono kabisa huwez kunishawish eti wale walibya weupe kwamba n waafrika hakunagaaa yaan mm ule ukanda wooteee wa akina algeria, libya,tunisia n.k cjawahi kuamin kama n waafrika wenzetyu. Rangi yyte nyeupe haijawah kumpenda mwafrika mweusi.
Hata kiakili wao wana akili kuliko sisi wa kusini mwa jangwa la sahara, huo ni ukweli mchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…