lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Wakuu kuna hawa jamaa wanaofanya kazi ya kuzamia baharini uwa wanaenda mpaka kina kirefu chini ya bahari kwa lugha nyingine wanaitwa DIVERS,hawa jamaa kabla hawajaingia katika maji ni lazima wavae soksi nyeusi mikononi na miguuni, kwa nini wanafunika nyayo za mikono na miguu? Je hawawezi kuzamia maji bila ya kuvaa hivyo vifaa? Kama kuna mwenye kujua hizi ishu za madivers atujuze