Wazambia wacharuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazambia wacharuka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BAK, Mar 5, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Chinese beaten up in Zambia mines
  BBC News Online

  Some Chinese mines in Zambia have poor safety records
  A Chinese manager at a copper smelter in northern Zambia has been admitted to hospital after being assaulted by workers demanding better conditions.
  An estimated 500 workers at the Chinese-owned Chambishi mine site started throwing stones at the managers as they attempted to hold talks.

  Police came in to restore order and rescue the Chinese who had taken refuge by locking themselves in their offices. Several buildings were burned in the violence and a protester was injured.

  Last year, China's president cancelled a visit to Chambishi fearing protests.

  A blast at the copper mine killed 50 people in 2005.

  Holiday rumours

  Chambishi Smelter, which is under construction, is part of a huge multi-million dollar Chinese investment in the area.

  The Chinese are not respecting Zambian labour laws


  Miners see 'little reward'

  The BBC's Boyd Chibale in Kitwe says a kitchen for Chinese workers and a guard's house were set alight and hostel windows smashed in the violence.

  Our correspondent says the workers have now gone home, and the Chinese management are in talks with the unions.

  The protest was sparked by rumours that members of the Chinese management team were about to go on holiday, which workers feared would delay negotiations to improve their conditions of service.

  "The Chinese are not respecting Zambian labour laws," workers' representative Teddy Chisala told the AFP news agency.

  In recent years, China has emerged as one of the biggest buyers of Zambian copper.

  But correspondents say Chinese investment in mining and manufacturing has not been without controversy - with constant industrial disputes amidst allegations of poor working conditions.

  In elections in 2006, opposition candidate Michael Sata ran on an anti-China ticket, calling for "Zambia for Zambians".
   
 2. M

  Major JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2008
  Joined: Dec 20, 2007
  Messages: 1,425
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Hivi Nyie Mnawajua Wachina Au Mnawasikia Mimi Mara Nyingi Nimeshawaambia, Hawa Ni Mbwa.mimi Ninachosema Ni Kwamba Yeyote Anayetoka Alikotoka Kuja Africa Akitaka Twende Sawa Kwanza Ni Lazima Awe Na Nidhamu Ya Kuwaheshimu Wenyeji Wake. Mimi Sijui Hawa Viongozi Wa Africa Wanafikiri Nini Juu Ya Wananchi Wao Sijui Uzalendo Wao Uko Wapi Juu Ya Wanaowatawala.inaniuma Sana Et Mtu Unanyanyasika Nyumbani Kwako Tena Anayekunyanyasa Ni Mbwa Koko Mgeni,shit
   
 3. M

  Major JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2008
  Joined: Dec 20, 2007
  Messages: 1,425
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Na Hii Miafrica Imezidi Mno Nayo Kuwa Na Nidhamu Ya Uoga.na Haswa Hii Africa Ya Mashariki Na Baadhi Ya Majirani Kama Hao Zambia Malawi Sasa Mnachowaogopea Ni Nini? Mbona Usenge Huu Hawaendi Kuufanya Kule Nigeria Waone Cha Moto Yaani Huku Kwetu Utafikiri Wote Ni Mijike.hata Mbwa Huwezi Kumletea Za Kuleta Nyumbani Kwake, Hata Kama Ni Muoga Barabarani Watu Mnakaa Tu Kama Marehemu Yaani Kila Kitu Ni Ndiyo!!!watu Mmejaliwa Miili Mikubwa Na Nguvu Nyingi Eti Mnakuja Kuogopa Hivi Vitaka Taka Havifiki Hata Nusu Kilo Ua Mnafikiri Zile Picha Za Bruce Lee Ni Za Ukweli?ile Ni Acter Tu.yaani Hadithi Za Uongo Ktk Picha.
   
 4. M

  Major JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2008
  Joined: Dec 20, 2007
  Messages: 1,425
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  The Chinese are not respecting Zambian labour laws
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hapa kwetu wa-China wana hadhi ya kipekee, tumeshasikia habari za kupiga watu, kuuza kanga na kadhalika, lakini hatuna cha kuwafanya kwa sababu tu walikaribishwa na Mkuu fulani wa zamani.
   
 6. M

  Major JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2008
  Joined: Dec 20, 2007
  Messages: 1,425
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Iko Siku Tu Uma Utasema No
   
 7. M

  Major JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2008
  Joined: Dec 20, 2007
  Messages: 1,425
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Lakini Napo Wa Tz Tumezidi Mno Umbumbumbu Kwanini Tusiiweke Serikali Mpa Madarakani Angalau Miaka Mitano Tukaona Labda Kutakuwa Na Mabadiliko Kuliko Huu Utawala Wa Imla Ambao Najua Hata Ingepita Miaka Mia Mabadiliko Ni Ndoto?
   
Loading...