Waya kama huu unafaa kutumia kwenye antenna au dish?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,611
Nina king'amuzi cha startimes kipo ila hakina antenna nimepata antenna bila waya nawaza kuunganisha jee naweza kutumia waya kama huu hapo pichani kama waya wa antena??
IMG_20180420_222312.jpg
 
haufai, jiandae kupokea 'weak signals' kwa kua:

1 - hauna kinga dhidi ya EMI-intafiarens

2 - izo waya hawatumii 'pure copper' wanachanganya 'kopa 70% na chuma 30%'

la kama unakomaa nao, jaribu kuufanya uwe 'braided' , uunyongorote kama unavyokuaga ukinunua
 
Thanks mkuu
 
Asante kwa kuniongezea ujuzi
 
Back
Top Bottom