Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
Vyombo vya habari tu...
Kelele nyingi kwa vitu visivyo na maana..
Serikali inaendesha projects za maana na maendeleo kuliko wakati wowote Tanzania...
Ujenzi unaoendelea katika mikoa ya pembezoni ni ushahidi tosha..
Kama unajishughulisha kuangalia kina Slaa, Lema na chadema huwezi ona chochote..maana hawa wameamua wasione chochote ..

ntajie intrastructure project kubwa yoyote inayoendelea mkoa wa Pwani, inacost how much na imeajiri watu wangapi na TRA wana estimate watakusanya how much toka kwa hao wanaofanya kazi
Unajitesa kwa ushabiki wakoWewe at the very best utakuwa mgonjwa wa akili! Kwa maana ni wewe na wenye mazingira kama yako pekee ndio wanaoshabikia mateso ya Watanzania walio wengi!
Na uende ukawaambie waliokutuma.
Miradi iko funded na pesa toka wapi?Mkuu,
Najua project kadhaa za mkoa wa pwani sina data za cost na number za waajiriwa..lakini utakuwa unajua muliplier effect waweza ku-deduce mwenyewe
1. Barabara ya Lami kutoka Msata - Bagamoyo
2. Ujenzi wa chuo kikuu Bagamoyo University
3. Mradi wa barabara kiwango cha lami Mlandizi - Bagamoyo
uliza zaidi
wachina si ndio wameajiriwa hapa kweli?Mkuu,
Najua project kadhaa za mkoa wa pwani sina data za cost na number za waajiriwa..lakini utakuwa unajua muliplier effect waweza ku-deduce mwenyewe
1. Barabara ya Lami kutoka Msata - Bagamoyo
2. Ujenzi wa chuo kikuu Bagamoyo University
3. Mradi wa barabara kiwango cha lami Mlandizi - Bagamoyo
uliza zaidi
As it is he is viwed as a lame duck president. wakuuu wa wilaya wale wale, serikali imeajiri jeshi kubwa la ma civil servants, TRA haikusanyi kodi ipasavyo (kwa sababu hakuna umeme), hakuna accountability, hakuna transparency, wananchi hali zao bado ni ngumu, na serikali inaspend pesa nyingi kwenye makelele ya siasa badala ya kufanya kazi, investor confidence iko all time low (KINYESI KUNUKA AIRPORT DAR, URASIMU BRELA etc), bila kuuambia sahau kuwa serikali hii inaongoza kwa kupiga vita mambo ya TRANSPARENCY so hakuna web portal kutuambia what these guys have been up to....kuanzia WEBSITE YA IKULU to individual ministries and WEBSITE YA TAIFA yenye data na stats.
Lakini there is a way out.
I think infrastructure projects might be a way out.
Watu watapata ajira
TRA watapata kodi zao
Itapunguza unemployment kwa kiasi kikubwa
Sub contractors nao watanufaika
Lakini tatizo liko pale pale...serikali haina pesa hata ya kutoa guarantee ya hii miradi mikubwa.
Jamani huu si mjadala wa CCM vs CHADEMA bali ni wa kuangalia strategies za namna ya kujikwamua kwenye hiii hali
Thoughts?
Mkuu,
Najua project kadhaa za mkoa wa pwani sina data za cost na number za waajiriwa..lakini utakuwa unajua muliplier effect waweza ku-deduce mwenyewe
1. Barabara ya Lami kutoka Msata - Bagamoyo
2. Ujenzi wa chuo kikuu Bagamoyo University
3. Mradi wa barabara kiwango cha lami Mlandizi - Bagamoyo
uliza zaidi
Vyombo vya habari tu...
Kelele nyingi kwa vitu visivyo na maana..
Serikali inaendesha projects za maana na maendeleo kuliko wakati wowote Tanzania...
Ujenzi unaoendelea katika mikoa ya pembezoni ni ushahidi tosha..
Kama unajishughulisha kuangalia kina Slaa, Lema na chadema huwezi ona chochote..maana hawa wameamua wasione chochote ..
Mkuu,
Najua project kadhaa za mkoa wa pwani sina data za cost na number za waajiriwa..lakini utakuwa unajua muliplier effect waweza ku-deduce mwenyewe
1. Barabara ya Lami kutoka Msata - Bagamoyo
2. Ujenzi wa chuo kikuu Bagamoyo University
3. Mradi wa barabara kiwango cha lami Mlandizi - Bagamoyo
uliza zaidi
Hakunaga kitu kama hichoV kwa sasa. Muwe mansikiliza news kwenye TV/Radios.
Kwa taarifa yenu tu ni kwamba jana M/Kiti wa Kamati ya Bunge ya Miundo mbinu Mhe. Peter SeruADI YOTE YA BARAkamba alisema kuwa MIRADI YOTE ya ujenzi wa barabara kwa viwango vya LAMI imesimama. Kisa?? Hakuna hela.Wakandarasi wanaidai serikali more than 400 B/= Tshs.
Serikali ya JK imefulia kinoma na Inflation kwanza ndo inazidi kupamba moto. Very soon Dollar inaenda kuwa na Tshs. 2,000/=au zaidi. Maisha hayakamatiki. Umeme hakuna na Viwanda vingi vimesimama au vinazalisha chini ya uwezo!!!!
...Lakini there is a way out. I think infrastructure projects might be a way out. Watu watapata ajira, TRA watapata kodi zao, Itapunguza unemployment kwa kiasi kikubwa, Sub contractors nao watanufaika. Lakini tatizo liko pale pale...serikali haina pesa hata ya kutoa guarantee ya hii miradi mikubwa.