Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 881
As it is he is viwed as a lame duck president. wakuuu wa wilaya wale wale, serikali imeajiri jeshi kubwa la ma civil servants, TRA haikusanyi kodi ipasavyo (kwa sababu hakuna umeme), hakuna accountability, hakuna transparency, wananchi hali zao bado ni ngumu, na serikali inaspend pesa nyingi kwenye makelele ya siasa badala ya kufanya kazi, investor confidence iko all time low (KINYESI KUNUKA AIRPORT DAR, URASIMU BRELA etc), bila kuuambia sahau kuwa serikali hii inaongoza kwa kupiga vita mambo ya TRANSPARENCY so hakuna web portal kutuambia what these guys have been up to....kuanzia WEBSITE YA IKULU to individual ministries and WEBSITE YA TAIFA yenye data na stats.
Lakini there is a way out.
I think infrastructure projects might be a way out.
Watu watapata ajira
TRA watapata kodi zao
Itapunguza unemployment kwa kiasi kikubwa
Sub contractors nao watanufaika
Lakini tatizo liko pale pale...serikali haina pesa hata ya kutoa guarantee ya hii miradi mikubwa.
Jamani huu si mjadala wa CCM vs CHADEMA bali ni wa kuangalia strategies za namna ya kujikwamua kwenye hiii hali
Thoughts?