Way forward 2018-2020

Nuhu alipoanza kujenga safina walimcheka hata gharika ilipoanza. Endelea kujifariji.
 
Kufikia miaka 10 ya awamu hii kule kwa bwana Yule kutakuwa inchi nyingine, maana kila kitu kimeelekezwa huko, tusishangae wakiomba kujitenga na kudai uhuru wao.
 
Nyerere aliwahi kusema,watanzania wanataka mabadiriko.Wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM.Pia mwl.alisema CCM haitatawala milele itakufa na watakaoiua ni wanaCCM wenyewe.Pia akasema upinzani Wa kweli utatoka CCM.Sasa yametimia.
 
Wasiojua kusoma wote picha wameiona? Au wamepofuka hata picha hawaoni?
 
Endeleeni na ufitini, sie twaendelea na maendeleo.
Maendeleo yapi sasa,kupenda kwingine huku ni ugonjwa
Mshana nakuelewa Sana lakini Kati ya vitu ambavyo vinanipa shida Ni pamoja na kuamini kuwa mwiguli kabanwa na atakimbilia upinzani..kati ya watu ambao najua nje ya ccm hawawezi Ku survive Ni mwigulu..na aitoka ccm atakua mnafiki kuliko polepole
 
wise man.
good point.
 
Nimekuelewa mkuu ,Tatizo lako litakuwa kiu ya Viroba vimefutwa mkuu jifunze kunywa maji kupooza koo sio kila kitu kinachohusu chama chako ujibu, Mchana ametoa prediction nini kinaweza tokea, Wewe unatoa povu jingi bila sababu
 
Nimekuelewa mkuu ,Tatizo lako litakuwa kiu ya Viroba vimefutwa mkuu jifunze kunywa maji kupooza koo sio kila kitu kinachohusu chama chako ujibu, Mchana ametoa prediction nini kinaweza tokea, Wewe unatoa povu jingi bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…