We una wabishia na uku ARV wanakusaidia mpaka leo.Hahaha nakumbuka barabara zilipigwa deki, watu walikaa pembeni ya barabara kumsubiri, zipo familia walipika wali na nyama.
Pale mjini shule na vyuo vilikatazwa kufunguliwa, nakumbuka nilikua IFM wakati huo, masomo yalisimamishwa kwa muda.
Nchi z Africa zina laana na ushamba wa asili, hili tutakataa hadharani ila tutalikubali kimoyo moyo, ndani kwa ndani.
Nakumbuka bush anakuja tulimsubiri toka saa 8 Hadi saaa 2 usiku ndio anafika na ndege yake ya Obama ndo ilikuwa show kabambeHahaha nakumbuka barabara zilipigwa deki, watu walikaa pembeni ya barabara kumsubiri, zipo familia walipika wali na nyama.
Pale mjini shule na vyuo vilikatazwa kufunguliwa, nakumbuka nilikua IFM wakati huo, masomo yalisimamishwa kwa muda.
Nchi z Africa zina laana na ushamba wa asili, hili tutakataa hadharani ila tutalikubali kimoyo moyo, ndani kwa ndani.
[emoji2][emoji3][emoji119][emoji119] Africa bado sana m kila nikikumbuka nilivopigwa na jua kisa namsubiri binadamu mwenzangu kisa tu anacheo kikubwa najionaga mjinga sana.Na kumbuka Bush alipokuja Arusha miaka ile, sasa pale kwenye barabara inayotoka sanawari kushukia huku AICC kulikuwa na polisi wengi waliojipanga pembeni ya bara bara wakimsubiria Bush mwenyewe atimbe akitokea KIA, basi wakaja watu kadhaa, kama wanne hivi, wawili ma Black na wawili wa zungu, wakaangalia angalia wale askari wetu waliojipanga barabarani kisha wakaanza kuwasukuma nje ya barabara !! Halafu wakawaamuru waondoke maeneo hayo chap! Maafande wetu wakatii bila shuruti na kusepa ASAP! nilijidharau mno
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Utakua umevaa diaper hapo ulipo.We una wabishia na uku ARV wanakusaidia mpaka leo.
Na huenda hata ndugu yako muhanga
Ustaadhi Kamanda kova akanuswa na mbwa wa CIA,noma Sana.Nakumbuka Internet ilisumbua sana
Jamaa walislow down Internet
Wale mbwa sio wa CIA ila ni wa secret serviceUstaadhi Kamanda kova akanuswa na mbwa wa CIA,noma Sana.
Kwani kwa uelewa wako CIA sio kikosi Cha Siri pia, ndani yake Kuna idara mbalimbaliWale mbwa sio wa CIA ila ni wa secret service