Wawili wauawa Arusha

Sio mfanyabiashara ni dereva ndiye kauawa na hao majambazi
 
NGiloi (panone) ana mzigo hata kabla ya RizOne....labda kama ameingia share now....Jamaa amepiga vimeo vingi vya "hatar" so sishangai akiwa Billionea
 
Kuna habari zimeenea mjini hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi watujuze

Mbona Arusha vifo vya risasi vingi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…