hakuna chochote hawa walikwenda kwa donoadonoa na muda wao waliopewa kuishi kwa raha mstarehe umewadia.
Sahizi hao jamaa (majambazi) watakua wakila bata kwa kijikoSina uhakika ila kuna majambazi yameua mtu pale Karibu na idara ya maji nasikia hao watu walikuwa wanapeleka pesa bank majambazi wamekimbia na hizo pesa.
Kwahiyo ni mbwa wala sio mwenye mbwa eh?Ni mfanyakazi sio mwenye mali...
ndo mambo ya utajiri wa Punje za mahindi au
Wakuu ni kweli kabisa nimefika eneo la tukio chini ya mti inadaiwa kapigwa risasi ya kifua. Kabla ya hapo trafiki wawili wa kike walikuwa wamemsimamisha wanamkagua ndio jamaa wakaja na pikipiki wakamshuti trafiki wakakimbia.
Hapana ni meneja wao ndiye kapigwa risasi Arusha.Sio Patrick Ngiloi
Wakuu ni kweli kabisa nimefika eneo la tukio chini ya mti inadaiwa kapigwa risasi ya kifua. Kabla ya hapo trafiki wawili wa kike walikuwa wamemsimamisha wanamkagua ndio jamaa wakaja na pikipiki wakamshuti trafiki wakakimbia.
Nawe, watu wapo kwenye ukweli wewe unaleta maskhara
Kama ni kweli
R. I. P mfanyabiashara wa vipuri na mafuta!!
Inasadikika wapo wote kibiashara na ni walikua marafiki na marehemu BABU SAMBEKE
Kuna habari zimeenea mjini hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi watujuze
badilisha heading "BILIONEA MWINGINE AFARIKI ARUSHA"