Kuna habari zimeenea mjini hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi watujuze

Sina uhakika ila kuna majambazi yameua mtu pale Karibu na idara ya maji nasikia hao watu walikuwa wanapeleka pesa bank majambazi wamekimbia na hizo pesa.
ila kuna wa2 wawili mwanaume mwanamkepamoja na trafic wamepigwa risasi maeneo ya idara ya maji wakiwa wanapeleka pesa benk walikuwa na pesa kutoka panone ila sijui kama ndo yeye au la ila alikuwa na pesa mingi kweli