Wawili na robo

Wawili na robo

uko sahihi lakini anayeaibika ni nani?
Actually sio kuaibika tu..madhara yake ni kwa wote.Miaka ya nyuma huko ulaya wakati bado hakuna sheria ya kodi wantunga sheria waliiunda na kuipitisha ili kuwabana matajiri,yaani iwe inalipwa na matajiri tu lakini matokeo yake serikali baada ya kunogewa kodi inalipiwa na watu wote huku hao wa kada ya chini walioshabikia wakiilipa na ikiwaumiza sana
 
Mimi nimeamua kutoangalia bunge la Tanzania,naona nitaumia na stress kwa maudhi
yanayoletwa na kiti daily"
Hiki "kiti" kimekuwa kama cha wale wapunga mapepo
 
amechanganyikiwa akili baada ya kujua leo kutakuwa na madisiko jioni ya wabunge. Au naye anapiga masigara yasiyo na vishungi.
 
Eti huyu nae ni kiongozi wa bunge. Bora Mwigulu Nchemba angekuwa kiongozi wa bunge!
 
Last edited by a moderator:
amechanganyikiwa akili baada ya kujua leo kutakuwa na madisiko jioni ya wabunge. Au naye anapiga masigara yasiyo na vishungi.
Siku hizi wanatafuna bazoka tu (big G)
 
hata mi leo nimechefuliwa na maswali ya ovyo yanayoulizwa na wabunge wa CCM hadi nikawaonea huruwa wapiga kura wao.Hakika hatuna viongozi wa bunge bali ni vivuli tu viko pale
 
maccm yanaendesha bunge kisanii sana
Nalishangaa sana bunge la TZ.kweli ofisi ya bunge inashindwa kutangaza tenda watu wakainstall devices na software ambayo kila mbunge alipo mezani kwako anaweza kuvote na results zikawa displayed openly and instantly.hizo kura za sauti ni mambo ya kijima
 
Sijawahi kuwa na imani juu ya uwezo wa Mh. Muhagama kuongoza vikao vya bunge la JMT..
 
Actually sio kuaibika tu..madhara yake ni kwa wote.Miaka ya nyuma huko ulaya wakati bado hakuna sheria ya kodi wantunga sheria waliiunda na kuipitisha ili kuwabana matajiri,yaani iwe inalipwa na matajiri tu lakini matokeo yake serikali baada ya kunogewa kodi inalipiwa na watu wote huku hao wa kada ya chini walioshabikia wakiilipa na ikiwaumiza sana
na hapo ndipo usemi wa wajinga ndio waliwao unapotimia
 
Nalishangaa sana bunge la TZ.kweli ofisi ya bunge inashindwa kutangaza tenda watu wakainstall devices na software ambayo kila mbunge alipo mezani kwako anaweza kuvote na results zikawa displayed openly and instantly.hizo kura za sauti ni mambo ya kijima

Hawa maccma hawapendi teknolojia ichukue nafasi yake yanajua yataumbuka
 
Back
Top Bottom