Wawili kizimbani kwa kuchana bendera ya CCM Mbeya

Wawili kizimbani kwa kuchana bendera ya CCM Mbeya

wakuu nisaidieni hapa, eti hivi kwanini CCM wanatumia nguvu nyingi sana kumnadi mbele ya wananchi? mbona ukawa hawatumii nguvu kubwa kumnadi LOWASA? why?

Mzee wa ukawa anamachale kwa sababu anajua Magufuli ni kazi tu, sasa ameanza ziara za kuzoea uswazi watu wanavyoishi, ziara yake ya mwisho itakuwa Keko.......na itaishia hapo.
 
wakuu nisaidieni hapa, eti hivi kwanini CCM wanatumia nguvu nyingi sana kumnadi mbele ya wananchi? mbona ukawa hawatumii nguvu kubwa kumnadi LOWASA? why?
Mkuu ccm ni chama dola na hapo bado haijatumika nguvu yoyote.
 
Kama Ingekuwa bendera ya TAIFA sawa lakini hiyo bendera ya CCM mbona hapa kwetu tumefanya ndio pazia la chooni!

Ni wapi hapo? mtaa au kijiji gani,kata ipi,wilaya ipi na mkoa upi.NYumba namba ngapi na iko eneo gani ili mtu akitaka kufika afike kirahisi.Toa maelekezo vizuri ilipo.
 
wakuu nisaidieni hapa, eti hivi kwanini CCM wanatumia nguvu nyingi sana kumnadi mbele ya wananchi? mbona ukawa hawatumii nguvu kubwa kumnadi LOWASA? why?

Naona umesahau tu mkuu huu upande wa pili nao vilevile unatumia nguvu nyingi kununua omo, madodoki, pamoja na jiki ili kumsafisha Lowasa.
 
Chama kimeoza ndiyo maana. Waswahili wanasema kibovu(kilichooza) chajitembeza
 
kwa sababu hanadiki.
Hana uwezo wa kuwa Rais na yeye mwenyewe alisema hivyo isipokuwa kashinikizwa
 
Nafikiri hujui maana ya kampeni.kukabidhiwa nchi sio mchezo useme utaigiza.Nguvu inahitajika,jipange mara 2 zaidi.nenda kizembe utajuta.
 
Hakuna mgombea asiye nadiwa,mbona hata nyie mnamnadi lowasa,utafanyaje kampeni bila kumnadi mgombea?akili za kuambiwa ongeza na zako
 
Kwani sheria ya uchaguzi NEC inasemaje? Hata angechana ya lowasa bado angedakwa.... Pitia sheria za Uchaguzi upya utaelewa. Unaumwa kichwa kwa mambo gani Sasa kama sio ulofa?

Cha msingi ni kuelimishana ili walau kila mwananchi aelewe kuwa kufanya vitendo kama hivi vinaweza kumsababishia matatizo.
 
Back
Top Bottom