wakuu nisaidieni hapa, eti hivi kwanini CCM wanatumia nguvu nyingi sana kumnadi mbele ya wananchi? mbona ukawa hawatumii nguvu kubwa kumnadi LOWASA? why?
wakuu nisaidieni hapa, eti hivi kwanini CCM wanatumia nguvu nyingi sana kumnadi mbele ya wananchi? mbona ukawa hawatumii nguvu kubwa kumnadi LOWASA? why?
Mkuu humu JF kuna mtu anaitwa Rutashoborwa nafikiri anaweza kukupa jibu la aharaka haraka.
Mchawi anapokaribia kufa huwa anatapatapa kwa uchungu mkubwa sana.
In fact CCM is probably currently implementing the most expensive nationwide media advertising campaign in Tanzania's history. At least measured in terms of time frame - 2months. You have massive billboards, television, radi0, print, roadshow, entertainment, online etc. How much money exactly? We may never know and no body can beat CCM on this. Haijapata kutokea.
Pombe azomewa na wananchi leo august 28 katika kijiji cha Junction kyela,kwa kile kinachodaiwa ni kutoa ahadi hewa..
Serikali ya CCM itawezaje kumpatia kila mwanafunzi computer wakati walishindwa kupeleka hata madebe ya mahindi na kupelekea baadhi ya shule kufungwa.
Lowassa amepanda daladala kwa mara ya kwana maishani mwake.wakuu nisaidieni hapa, eti hivi kwanini CCM wanatumia nguvu nyingi sana kumnadi mbele ya wananchi? mbona ukawa hawatumii nguvu kubwa kumnadi LOWASA? why?
wakuu nisaidieni hapa, eti hivi kwanini CCM wanatumia nguvu nyingi sana kumnadi mbele ya wananchi? mbona ukawa hawatumii nguvu kubwa kumnadi LOWASA? why?
mkuu kazomewa kweli?