The stig,ulishawai kuskia pound imetetereka?unajua wanareserve kiasi gani ya gold?diamond etc?na sisi je,shs yetu ikoje?tuna reserve ya madini kiasi gani?ungekuwa unawekeza UK wangekuruhusu ufanye wanavyofanya?
Tucheze na kitu kingine jamani lakini sio wanasheria wanaojua kusuka mikataba ya kuwaibia waafrica.tuchukue mfano tu wa hapo bondeni,wanakufa na tie shingoni kwa mikataba walosign na wazungu.
Na haya mambo ya misaada haya,matokeo yake tunalazimika kuyaingiza yaje kuvuna vitu vyetu kwasababu walitusaidia,mh