Wawakilishi wakusudia kufanya kweli

We wacha tu ,Mtanganyika akifika Zanzibar anaona ndio amekwisha fika Ulaya ,ni juzi tu mmoja ametokea Zenji kufanya shoping ya arusi ila wakati anarudi fisadi akammaliza uhai wake.
Tatizo wale waliokuwa hawajafika ambao wako huko mikoani ndanindani wanaona Wazenji wote ni weupe na waarabu ,mi niliwashangaa sana pale Shinyanga tukiwa katika michezo ya Umiseta ,walitokea wakawa wanatushangaa na kutuita eti sio WaZenji kwa sababu ni weusi. Ipo kaazi kweeli.
 
Nyie Wazenji,
Kwanza nakushaurini muwe mnakunywa BIA kama anavyosema Kibunango. Totoz zenu zinapata sana wine ndiyo maana Wabara huwa tunakuja huko kula maisha weekend na nyie mnabaki tu kuumia roho kuwa Wabara wanakuja kwetu kutalii na sisi hizo mbuga za wanyama hatujawahi kufika. Fanyeni kazi, njooni Arusha, Moshi, Serengeti nk mje muone goodtime ilivyo na si kukaa miaka nenda na joto la Zenji huku vikwapa vikitoa maji kama mvua za vuli. Mungu bariki harufu ya karafuu inawasaidia kutosikia harufu.

Juu ya kakisiwa kenu ka Zanzibar, nawakumbusha ule wimbo wa Khadija Kopa wa 'Mwanamke mambo' ambao anaimba "...nishamsomba, nishamsomba, nishamchukua...". Hamna cha kufanya zaidi ya kuwaambia Bwageni-Moyo. Hihiiii, nilikuwa sijui kuwa kumbe Tanganyika tuna kakoloni. This is real very sweet and Mswano kwa sana sana tu.

Mafuta mtaachiwa mchimbe ila kuuza nje ni sisi tutasimamia. Heri msipige sana kelele maana tukishaanza kuzifisadi hela za mafuta tukiongozwa na brother Edo wa Monduli, tutaanza kuimba "walibanaaaaaa...... wameachia."

We love you very much watani wetu wa milele na milele, bila yetu hamuwezi kuishi. Kuna swali? hakuna swali...... utani unaendelea...
 
Tatizo wale waliokuwa hawajafika ambao wako huko mikoani ndanindani wanaona Wazenji wote ni weupe na waarabu ,mi niliwashangaa sana pale Shinyanga tukiwa katika michezo ya Umiseta ,walitokea wakawa wanatushangaa na kutuita eti sio WaZenji kwa sababu ni weusi. Ipo kaazi kweeli.

Mwiba,

Walikuwa wanashangaa how come nyie Wanyamwezi kabisa na kila kitu kinaonyesha hivyo na bado eti mnajiita mna damu ya kiarabu? Tena mwaweka aksenti utafikiri mmetoka leo Ulaya ya Waarabu. Kama Wasudani vile wa Kusini wakifika Ulaya, bado wana kasumba ya kufikiri eti waarabu bomba sana. Wakija kugundua tunakula sahani moja na hata kuwazidi, basi wanaanza kujitoa kimya kimya na kuanza kusema sisi Mipingo.

Mwiba, karibuni sana bara tunywe bia, Kibunango pia njoo upate safari maana niliomba mwaliko ila naona mwaliko waja kwa mashartiiiii...
 
Mwiba,

Mwiba, karibuni sana bara tunywe bia, Kibunango pia njoo upate safari maana niliomba mwaliko ila naona mwaliko waja kwa mashartiiiii...
Hakuna sehemu nzuri ya kunywa bia kama Zenj... Bara baa zinafungwa saa 5 usiku wakati zenj ni saa 8 usiku, night club saa 11 asubuhi na kuna zile za masaa 24.

Sasa kuna haja gani ya kuja huko bara kunywa bia huku unaomba usishikwe na polisi kwa kunywa bia baada ya saa tano usiku?
 
Jamani si muawaache mbona dhahabu hamuwashilikishi?
Waacheni nao wale wakijenge kisiwa kiwe kama Dubai.
 
Hakuna sehemu nzuri ya kunywa bia kama Zenj... Bara baa zinafungwa saa 5 usiku wakati zenj ni saa 8 usiku, night club saa 11 asubuhi na kuna zile za masaa 24.

Sasa kuna haja gani ya kuja huko bara kunywa bia huku unaomba usishikwe na polisi kwa kunywa bia baada ya saa tano usiku?

Mkuu kwanza usiombee wakukamata mchana unakunywa siku za j3-ijumaa huku Bara unajua Polisi wanavyo jua kung'angania wanakuambia kunywa kuanzia saa 9.00 mchana mpaka saa 5.00 usiku.
 
Back
Top Bottom