Hawa wazenj waachieni hayo mafuta yao; lakini itabidi walipe madeni yote ya umeme na pia itabidi wajilipie mambo ya ulinzi; tuone kama watagangamara!! Hawa jamaa wanajifanya wako pamoja kwenye mambo haya ya mafuta lakini hawajui kuwa hayo mafuta wanayopigia alinacha yanaweza kuwa ndio laana yao wakachinjana kama kuku!!
Pendekezo zuri na unafikiri tukichimba mafuta yetu tutashindwa kununua umeme kutoka Kenya?
Ama kwa ulinzi nafikiri hatuuhitaji kwani tunajilinda dhidi ya nani? Haizidi itakua faraja ndugu zetu watarudi kutoka kigoma na Mbeya.
Kama ni laana na ije lakini kumbuka tu kuwa kule Tarime hakuna mafuta na watu wanachinjana.