Wawakilishi wa TFF, Azam nje

Wawakilishi wa TFF, Azam nje

NGARUKA

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
402
Reaction score
71
Wale wawakilishi wa TFF kwenye bonanza la Musonye wametolewa kwa mikwaju ya penati.
Huko nadhani hongo zilidhibitiwa la sivyo wangechukua kombe.Mambo yameenza kuwa mabaya hata ligi kuu wataoonga lakini hawatashinda yaaani 'WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA'
 
Huo ndio mpira. Kuna kushinda na kushindwa. Bravo Azam kwa hatua hiyo ya q/final.
 
Wale wawakilishi wa TFF kwenye bonanza la Musonye wametolewa kwa mikwaju ya penati.
Huko nadhani hongo zilidhibitiwa la sivyo wangechukua kombe.Mambo yameenza kuwa mabaya hata ligi kuu wataoonga lakini hawatashinda yaaani 'WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA'

kama ligi ni kuhonga na nyie hongeni mmbebe ndoo
 
Ndugu, AZAM FC imetolewa katika mashindano ya CECAFA Kagame huko Nyamilambo Stadium Kigali. Nilichofurahia ni kuwa wametolewa KIUME si kwa aibu ya kufungwa magoli mengi! Wamecheza vizuri.Natumai watafanya vizuri zaidi katika Michezo mingine ya Kimataifa iliyo mbele yao. Go AZAM Go!
 
Watanzania bwana!! sasa kutolea kiume ndio nn!! au watapewa zawadi kwa sababu ya kutolewa kiume??
 
...yamechemsha tu period. Hakuna cha kuwakilisha vizuri bila matokeo mazuri,warudi wakalambe ice cream zao...
 
Ndugu, AZAM FC imetolewa katika mashindano ya CECAFA Kagame huko Nyamilambo Stadium Kigali. Nilichofurahia ni kuwa wametolewa KIUME si kwa aibu ya kufungwa magoli mengi! Wamecheza vizuri.Natumai watafanya vizuri zaidi katika Michezo mingine ya Kimataifa iliyo mbele yao. Go AZAM Go!

Kuna kutolewa kikike??
 
Wivu mbaya sana. Heri yao Azam wameshindana mwishowe wakashindwa. Kuna wengine waliogopa hata kushindana kwa kuogopa aibu ya kushindwa.
 
Tatizo tim zetu ili zichukue ubingwa zinahitaji matawi mf simba wana cost na mtibwa na Yanga wana toto sasa kule hakuna.
 
azam kuna makosa mawili kwa siwaambii mpaka ngao ya hisani ipite nitawambia
 
Acheni ushabiki wa kijinga.Azam wamepata mazoezi ya kutosha na kiwango walichoonyesha kwenye mashindano ya haya si haba.
Mashabiki mgando subirini timu zenu zisikuwa hata na viwanja vya kueleweka.
 
Kama lengo lao lilikuwa kutolewa na si kushinda kombe uko sahihi wametolewa kiume, otherwise hakuna sababu ya kuzunguka zunguka, wamezidiwa mbinu za kuwawezesha kuendelea na mashindano, over!
 
Back
Top Bottom