Wawakilishi wa TFF, Azam nje

Wawakilishi wa TFF, Azam nje

Acheni ushabiki wa kijinga.Azam wamepata mazoezi ya kutosha na kiwango walichoonyesha kwenye mashindano ya haya si haba.
Mashabiki mgando subirini timu zenu zisikuwa hata na viwanja vya kueleweka.
mazoezi ya Wahabeshi wa daraja la pili, Wanubi waliochoka vita na Wazenji wenzao? Bora hata kombe la Kinesi lina upinzani!
 
Acheni ushabiki wa kijinga.Azam wamepata mazoezi ya kutosha na kiwango walichoonyesha kwenye mashindano ya haya si haba.
Mashabiki mgando subirini timu zenu zisikuwa hata na viwanja vya kueleweka.

Si kila timu ina kiwanja chake binafsi. Je unajua kuwa Man City, Inter Milan na AC Milan wanatumia viwanja vya manispaa? Bado nakubali kuwa na kiwanja na wazo zuri sana.
 
SIMBA SC - BINGWA WA CECAFA MARA 6.
YANGA SC - BINGWA WA CECAFA MARA 5.
AZAM SC - ROBO FAINALI CECAFA MARA 1.

huwezi kudharau mchango wa Simba na Yanga kwenye mpira wa TANZANIA. ..
 
Mashabiki wa Yanga na Simba ni mashabiki wa timu mfu ambazo akili zao zinaongozwa na watu wachache na wao mashabiki wanashabikia kama vipofu. Viongozi wao hata waibishe vipi bado mtakuja kuwashabikia hapa. kulikuwa na haja gani kwa timu ya Yanga kupeleka timu Kigali kwa ajili ya kufanya tathmini ya timu yao kabla ligi haijaanza?? maximo anafahamu angepeleka timu yake halafu afungwe akifukuzwa kama mbwa mwizi kwa hiyo akaamua kwenda pemba na kucheza na timu za mchangani na bado mashabiki maandazi wa yanga mkashangilia.

Timu zenu kongwe za yanga na simba hazijafanya lolote la maendeleo bado mnawashabikia tu. hawana viwanja, hawana gym ya mawazo, hawana hosteli, hawana swimming pools wala kitu chochote cha maendeleo lakini bado mnawashangilia viongozi wenu ambao wamewashikia akili.

Mnatakiwa kuelewa kwamba Azam ndio mabingwa wa Tanzania mpaka mwisho wa msimu na lazima mashabiki wa simba na yanga muonyeshe heshima kwao.

Mpira wa Tanzania utakuwa kama ligi kuu itapata hatua kama tutapata timu mbadala wa yanga na simba. yanga na simba ni failures ambao hawawezi kupiga hatua yoyote ya kimaendeleo
 
kiuhalisia hivyo viwanja,gym, n.k haviwasaidii.
Mnatumia hela nyingi kununua mechi si muwache gym na viwanja vyenu viwasaidie.
Viva Yanga viva Simba
 
tunaongozwa na mzee akilimali
 
kiuhalisia hivyo viwanja,gym, n.k haviwasaidii.
Mnatumia hela nyingi kununua mechi si muwache gym na viwanja vyenu viwasaidie.
Viva Yanga viva Simba

maneno ya mkosaji kwani simba na yanga toka zimeanzishwa hazijawai kutuhumiwa kununua game? hizo ni story za waliofeli wewe binti mwenye akili za mzee akilimali
 
Back
Top Bottom