Wawakilishi wa Tanzania wabeba mifuko ya RAMBO katika mkutano wa Umoja wa Mabunge!!

Mimi nadhani si shopping. Hizo ni zawadi walizopewa walipokuwa wanajiandikisha kwenye huo mkutano.
 
Siyo aibu ni kawaida mkuu. Labda aibu ingekuwa kama wamevishika bial kuvifunika hivyo vilivyopo ndani ya mfuko. Ukiangalia vizuri mfuko wa huyo mwakilishi wa mbele una picha ya mdada-kama vile mhudumu wa Emirates.
 
Granted this is in bad taste by certain protocols,

Tanzania ni nchi masikini, labda wanabana matumizi ya fancy briefcases?

Wangekuja na briefcases za bei mbaya napo mngewasema wanatumia vibaya hela? Tunajuaje situation waliyokuwa nayo kabla ya kuja hapo? Vipi kama Hotel yao iko other side of town halafu wamepewa zawadi zilizowekwa katika mifuko hiyo hapo? Vipi kama Spika anabebewa mizigo na wapambe wake?

I mean it's not like Wolfowitz amevua viatu anaingia msikitini Uturuki halafu tukaona soksi zimechanika.

Paul%20Wolfowitz%20in%20holey%20socks.jpg
 
Mh inaelekea walifanya shopping kabla ya huo mkutano:D

hahahahah hii ya huyu nayo kali...
 
Kweli wabongo wamezoea kukawaidisha kila sehemu! Aibu!

Hapo unavyosema hivyo unakosea.Inavyoonekana wamenunua vitu kwenye Duty Free shops airport au ndani ya ndege.Mbona mifuko hiyo ni ya kawaida?Na kwa taarifa tu kubeba mifuko ya plastiki sio aibu wala ushamba.Tembea uone ndugu yangu.Hata huku nchi za wenzetu ni mambo ya kawaida.Don't pass judgement au kuwa biased kwa sababu tu ni Watanzania na kwa kuwa wamesafiri nje ya nchi.Don't be a hater pia!
 
Duty Free shops airport au ndani ya ndege!!!!
 
Back
Top Bottom