Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,840
- 11,783
''Rehema Seif, mmoja wa wanawake mjasiriamali kutoka Tandale Dar es Salaam alisema kuwa alifika kisiwani humo baada ya kusikia Kuna wavuvi wanaishi pekee yao na kuanza kujenga banda la biashara''Itakua walikuwa wanafanya ufuska sana bila kujali usiri wala kuwa na aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara gani hiyo inayohitajiwa na wanaume wanaoishi wenyewe bila wanawake?
Sent using Jamii Forums mobile app