Wavuvi Mafia wataka warudishiwe wake zao

Ifahamu Mafia na Visiwa vyake vya mvuto wa kipekee

Visiwa vya Utende, Chole na Ras Kilindoni huko Mafia Tanzania

Utalii na Hifadhi ya mazingira Shungimbili, Mafia Tanzania

Kule kulikuwa hakuna longolongo
Hakuna kituo cha polisi, watu wako huruuu tu SA ujinga hakuna
Alafu Kuna watu Wana masooo wanted wlbaadhi yao Walikimbilia jibondo......
Ndomana kama unapiga mishe zenye faulo lazima uweke kambi jibondo
Kilindoni wambeaaa walikuwa wengi
Jibondo hakuna kelele ilikuwa

Ova
Kwa nini Jamaica?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila mtu yuko above the law. I can imagine kama kulikua na wanawake waliotokea Tandale kule kuliko na kitongoji cha uwanja wa fisi. Huko itakua ni zaidi ya Tandale. Kumbuka Tandale mtu anapiga mswaki na dushe huku mwenye mswaki anakunywa beer mbele ya watu. Kila mtu na hamsini zake. Tandale ukiona mwanamke kamkalia mtu usifikiri ni utani ujue chombo kiko jikoni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kwa sisi wazee wa magumashi wkt ule nilipapenda ila jibondooo
Kilindoni vidole mkononi wengiii kuchunguzana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom