Kitendo cha kuvuta sigara hadharani, kwenye mikahawa, bar, hotelini, kwenye mikusanyiko ya watu kama stendi kituo cha basi; NI KUKOSA USTRAARABU WA HALI YA JUU.
Tunajua wengi wao hawakusoma na wanachukulia advantage usingizi wa serikali katika kusimamia sheria zake. Lakini waogope Mungu basi, ili waokoe afya zenu na za jirani zenu