Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,101
- 127,854
Shemeji unataka kucheza mchezo mbaya mbele ya macho yangu?????
Mchezo upi mbaya shemeji si ananifundisha tu??
Shemeji unataka kucheza mchezo mbaya mbele ya macho yangu?????
Shemeji unataka kufundishwa kulala???? Unataka niamini hujui na hujawahi kulala?? Au unataka niitumie @ vizuri??
Hahaa shemeji hiyo acha kabisa uusiitumie..... Anataka anifundishe jinsi ya kubalansi nikifumba macho ili kama ni 5:50 nikifumbua tena iwe 5:51
Shemeji hii si sawa kabisa, nimjuavyo blaza amesomea mambo hayo, iweje leo ashindwe kukufundisha??
Daaah hiyo in bed inanitokeaga sana aisee
????????? Haiwezekani
Imeanza lini?? Ameajiriwa kwangine??
Weeeeee
Kuna mwalimu amejitolea kutufundisha namna ya kukabiliana na tatizo ar u ready?? Asione hapa utafiti
Wahi home nakuja...
Nikusaidie kuuliza shem wangu??
yuko wapi wiii hiyo course naitaka