Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Naipongeza Serikali awamu ya Tano kusimamia Sheria zake dhidi ya wananchi wenye tabia ya kuvamia viwanja vya watu Kwa kisingizio cha maeneo yao na hawajipwa fidia.
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi inasheria za Ardhi ambazo wananchi wanapaswa kuzijua badala ya kuamua kujichukulia Sheria mkononi za kujenga kwenye viwanja visivyo vyao..Iwapo eneo ni lako ni vema ukaenda kwenye Ofisi husika kupeleka madai/Malalamiko yako , Na endapo Ofisi ikiridhika haki yako utapatiwa.Mwananchi mmoja mkazi wa kizwite amekuwa na tabia ya kuvamia viwanja vya watu ambao walipewa Na serikali Na kuvijenga kujenga .Nyumba hiyo imebomolewa Na Dalali wa Mahakama baada ya Mahakama Kuu Sumbawanga kuridhika Na hukumu ya Baraza la Ardhi la Wilaya Sumbawanga na kutupilia mbali madai ya Mvamizi huyo.