wauzaji wanahitajika haraka sana (freelancer)

chamgina

Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
13
Reaction score
1
wauzaji wazuri wanahitajika waliomaliza form six au diploma wanahitajika kuuza machine za EFD za TRA ka unajua unaweza kuuza hizi machine basi tupigie simu chap chap 0717178455 tuweze kukupa kazi, utalipwa in term of commission bali pia na nauli , pale utapoonekana unaperform vizuri mauzo utaanza kulipwa mshahara mnono wahi sasaa....mwenye experience ya sales toka makampuni mengi anafaa zaidi toka kampuni wanazouza machine ya TRA au makampuni ya simuu ama awe kwenye sales kampuni ingine yeyote kama boston, total fisical solution, maxcom, dartech, na mengine mengi.......karibuni sanaaa

tuwasiliane kwa namba ifuatayo kwa anayetaka kuwa muuzaji wa machine zetu 0717178455 charles

asante
 
Zinatembezwa au
 
yah itakwua kutembeza kaka unauza kwenye field kaka yaani nje sio ofisin
 
Mambo yakutembezana juani haya...halafu ukute bidhaa zenyewe haziuziki...ila wahenga walisema "chema chajiuza kibaya.............??????
 
wauzaji wazuri wanahitajika waliomaliza form six au diploma wanahitajika kuuza machine za EFD za TRA ka unajua unaweza kuuza hizi machine basi tupigie simu chap chap 0717178455 tuweze kukupa kazi, utalipwa in term of commission bali pia na nauli , pale utapoonekana unaperform vizuri mauzo utaanza kulipwa mshahara mnono wahi sasaa....mwenye experience ya sales toka makampuni mengi anafaa zaidi toka kampuni wanazouza machine ya TRA au makampuni ya simuu ama awe kwenye sales kampuni ingine yeyote kama boston, total fisical solution, maxcom, dartech, na mengine mengi.......karibuni sanaaa
tuwasiliane kwa namba ifuatayo kwa anayetaka kuwa muuzaji wa machine zetu 0717178455 charles
asante

Halafu mkuu hebu waelimisheni hao wauzaji wenu wafuate muongozo wa TRA, nina maana wawauzie tu wale wanaostahili kwa mujibu wa TRA. Nadhani utakubaliana na mimi kuwa siyo wenye biashara wote wanastahili kufunga machine hizi. Kuna categories kulingana na mapato ya biashara zao.

Kinachotokea sasa ni kwamba hawa masale persons wenu wanawalazimisha na kuwatisha wafanyabiashara ndogo ndogo (hasa wenye viduka, stationeries n.k) kununua hizi machine wakati biashara zao haziko kwenye category ya kuwa na hizo mashine. Najua mnasukumwa na kutaka kuuza tu ili mpate commissions zenu. Hii siyo sahihi na mnawaumiza wajasiriamali hasa wasio na uelewa na huo utaratibu. Msikimbilie kuuza mzigo tu, pia msiangalie faida kwa upande wenu tu, bali wapeni wanaostahili. Kuna wahindi kibao mnawaogopa mnaenda kung'ang'ania mmama wa watu na kumtisha tisha ili tu anunue wakate biashara yake ni kiduchu.
 
mito; Umetoa pointi ya maana sana, kuna wahindi kibao hawatumii hizi mashine lakini kuhusu wafanya biashara wadogo wengine wanaelimishwa tu faida zake na kuomba wauziwe.Nadhani elimu zaidi inahitajika kwa wauzaji ni wafanyapo biashara yao watumie persuasion siyo vitisho.
 
Last edited by a moderator:

exactly mkuu Makal Jr, wanawatisha kweli yaani, mi kuna ujasiriamali mdogo (stationery) anafanya dada yangu, eti walimkomalia na kumtisha eti watampeleka polisi, sijui watafunga biashara n.k, dada akatetemeka kweli ndo kuniita, nilivyoenda nikazungumza nao walipoona nina ufahamu khs nani wa kuwekewa na nani si lazima wakasepa kimya kimya!!

sasa mkuu imagine kwa biashara ya stationery (kopi sh 50-100) eti mtu ulazimishwe ununue mashine kwa laki 8, utailipa na nini hiyo laki 8?? huku bado kodi ya TRA iko pale pale, ulipie fremu, umlipe binti anayekusaidia, usafiri daily n.k hapo kuna kitu kweli! si ndo kuishia kufunga biashara na kuadhirika hapa mjini.
 
Back
Top Bottom