Bara bara kabisa. wauzaji wengi wa vitabu kama hivi huweka website, mnunuaji anaangalia matoleo yaliyopo, na pia ana search toleo analotakaWeka website portal yenu mnayouzia hivyo vitabu
nataka kitabu cha kusadikika,bei gani na ntapataje,niko makumbusho
naomba namba yako ntkuletea mpk nyumbaninataka kitabu cha kusadikika,bei gani na ntapataje,niko makumbusho
Vitabu vya elias musiba vinapatikana pia..Kitabu cha Elvis Musiba ( Willy Gamba )mfano hukumu ya haki ,kikosi cha kisasi nk mnavyo?
tupo ktk mchakato wa kufungua website rasmi kwa sasa tunaomba ushirikiano wenu..Weka website portal yenu mnayouzia hivyo vitabu
tunapatikana dar es salaam.. kitabu kitakufikia kwa njia rahisi ya e-ms au kitatumwa km parcels ktk basi inayofika mahali ulipoMnapatikana wap maana Mimi nipo Moshi
Ungetoa address zenu zote sio nusunusutunapatikana dar es salaam.. kitabu kitakufikia kwa njia rahisi ya e-ms au kitatumwa km parcels ktk basi inayofika mahali ulipo
kitabu kipi?Bei gani!???
Kutana na wauzaji waliobobea katika soko la vitabu Tanzania, tunauza softcopy za vitabu aina zote kama marketing, insurance, accounts, logistics and procurements, medicine, phamarcy, entrepreneurs, finance and banking. Kitabu aina yoyote toka kwa mwandishi yeyoto yule unayemfahamu.. pata ofa na punguzo maalum kwa kuwa mteja wa kwanza kila siku.. malipo hufanyika kwa njia mpesa na tigo pesa, ezymoney.[/QU
Naomba tuwasiliane mimi ni mtunzi wa vitabu nimeipenda idea yako 0784394701