Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

wauzaji wa matairi Bora na imara pamoja na betri zenye warranty ya mwaka mmoja fika dukani kwetu ujipatie bidhaa zetu zenye ubora uliothibitishwa kimataifa bidhaa zetu zinatoka America, Asia, Europe na Africa kusini

Matairi size zote kuanzia magari madogo mpaka makubwa pia zipo tairi za mashine

Hauitaji kuja mjini piga simu uletewe popote ulipo delivery free malipo baada ya kupokea mzigo wako kama umesahau size ya tairi piga picha tutumie what's up tutakupatia ufumbuzi karibuni sana

Call SMS what's up
0757752160
0625527014
0786647452
0673900183

Tunatoa ushauri namna bora ya kutunza matairi na betri
IMG_20211006_114326_252.jpg
 
Zipo za China boto na triangle
Hao wachina wa BOTO niliwadharau,
Ila kiukwel wanatengeneza tairi imara Sana,

Nnalo tair moja,
mwaka wa 4 huu iko fit ile mbaya

Wakati hizi zenye majina nishabadili Mara 2 na zaidi
 
Nahitaji BfGoodrich ALL-TERRAIN rimsize 16 kwa ajili ya harrier ya 2005

215/55/R16 naipata Kwa Bei gani mkuu
 
Hao wachina wa BOTO niliwadharau,
Ila kiukwel wanatengeneza tairi imara Sana,

Nnalo tair moja,
mwaka wa 4 huu iko fit ile mbaya

Wakati hizi zenye majina nishabadili Mara 2 na zaidi
Zipo Tairi za China zinafanya vizuri tatizo watu hawaziamini
 
nahitaji machine ya kuchaji betri. yenye uwezo wa kuchaji kuanzia betri 10 na kuendelea, kama unazo nijuze tafadhali
 
Wahli Tyres Center wauzaji wa matairi Bora na imara pamoja na betri zenye warranty ya mwaka mmoja fika dukani kwetu ujipatie bidhaa zetu zenye ubora uliothibitishwa kimataifa bidhaa zetu zinatoka America, Asia, Europe na Africa kusini

Matairi size zote kuanzia magari madogo mpaka makubwa pia zipo tairi za mashine

Hauitaji kuja mjini piga simu uletewe popote ulipo delivery free malipo baada ya kupokea mzigo wako kama umesahau size ya tairi piga picha tutumie what's up tutakupatia ufumbuzi karibuni sana

Call SMS what's up
0757752160
0625527014
0786647452
0673900183

Tunatoa ushauri namna bora ya kutunza matairi na betri
beb9e081-9dd7-48d5-b0d3-8e909f83408d.jpg
 
mkuu nina sehem yangu ya biashara nimefungua,tunaweza fanya biashara kwa kunipa mzigo and then mdogomdogo tunamalizana.
 
Back
Top Bottom