Wauzaji wa bidhaa used Dar wanapatikana wapi wakuu?

Chui mnyama

Member
Apr 2, 2017
67
33
Wadau ninamzigo wangu wa desktop, photocopy machine, printer vyote vipya na pia vyombo used kama vile flampeni, masufuria, juicer, pasi za umeme na masiki ya toilet na vingine vingi nataka kutoa mzigo kwa bei ya mteja so natafuta wenye wanauzaga vifaa used waje tuyajenge ama kama na wewe unataka kimoja wapo njoo tuyajenge mzigo wenyewe ni huu:
 
hizo ukitaka uza retail tu fasta watakuja, mimi nataka sufuria bei gani?
Taja aina nikupe bei nazitoa kwa mafungu kama nilivyozituma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…