Wauzaji wa bidhaa used Dar wanapatikana wapi wakuu?

Chui mnyama

Chui mnyama

Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
34
Points
95
Chui mnyama

Chui mnyama

Member
Joined Apr 2, 2017
34 95
Wadau ninamzigo wangu wa desktop, photocopy machine, printer vyote vipya na pia vyombo used kama vile flampeni, masufuria, juicer, pasi za umeme na masiki ya toilet na vingine vingi nataka kutoa mzigo kwa bei ya mteja so natafuta wenye wanauzaga vifaa used waje tuyajenge ama kama na wewe unataka kimoja wapo njoo tuyajenge mzigo wenyewe ni huu:
img_20100101_070208_7-jpeg.1203522
img_20100101_065122_0-jpeg.1203523
img_20100101_064756_8-jpeg.1203525
img_20100101_064509_7-jpeg.1203526
img_20100101_064348_7-jpeg.1203527
img_20100101_063802_3-jpeg.1203528
img_20100101_063406_8-jpeg.1203531
img_20100101_061838_9-jpeg.1203532
img_20100101_053358_7-jpeg.1203536
img_20100101_063638_3-jpeg.1203537
img_20100101_064223_1-jpeg.1203538
img_20100101_064034_1-jpeg.1203540
img_20100101_054512_3-jpeg.1203541
img_20100101_054532_0-jpeg.1203542
img_20100101_055842_4-jpeg.1203543
 
G

george tiru

Senior Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
163
Points
250
G

george tiru

Senior Member
Joined Sep 24, 2018
163 250
hizo ukitaka uza retail tu fasta watakuja, mimi nataka sufuria bei gani?
 
Chui mnyama

Chui mnyama

Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
34
Points
95
Chui mnyama

Chui mnyama

Member
Joined Apr 2, 2017
34 95
Wadau ninamzigo wangu wa desktop, photocopy machine, printer vyote vipya na pia vyombo used kama vile flampeni, masufuria, juicer, pasi za umeme na masiki ya toilet na vingine vingi nataka kutoa mzigo kwa bei ya mteja so natafuta wenye wanauzaga vifaa used waje tuyajenge ama kama na wewe unataka kimoja wapo njoo tuyajenge mzigo wenyewe ni huu: View attachment 1203522View attachment 1203523View attachment 1203525View attachment 1203526View attachment 1203527View attachment 1203528View attachment 1203531View attachment 1203532View attachment 1203536View attachment 1203537View attachment 1203538View attachment 1203540View attachment 1203541View attachment 1203542View attachment 1203543
hizo ukitaka uza retail tu fasta watakuja, mimi nataka sufuria bei gani?
Taja aina nikupe bei nazitoa kwa mafungu kama nilivyozituma
 
mangonifera indica

mangonifera indica

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2017
Messages
412
Points
1,000
mangonifera indica

mangonifera indica

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2017
412 1,000
Hiyo ya kenwood ya kukandia unga bei gani
 
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2008
Messages
4,684
Points
2,000
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2008
4,684 2,000
Mbona hakuna mawasiliano tutakufutaje sasa kwa mfano?
 
I

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Messages
283
Points
250
I

igihumbi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2017
283 250
mkuu nami nahitaji hayo masufulia yamekaa poa sana nipe bei
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
9,653
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
9,653 2,000
Pangilia hayo masufuria kila aina ya set na bei yake.


Hayajawahi kupikiwa yule mdudu lkn?
 

Forum statistics

Threads 1,334,598
Members 512,060
Posts 32,480,938
Top