JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 63
Jamani hebu mnisaidie hivi wale wanaojitokeza kwenye inauzwa.com na kutangaza kuuza simu kama Baazar,Mobilestorearena na Directshopping kutoka USA,Kenya na Dubai wakisema buy 2 get 1 free and free shipment na bei zao ni hizi Aple iphone 5s 64Gb 450USD na Samsung galaxy note 3+ gears 350USD.Hivi ni kweli hawa watu ni wauzaji wa cm na ni watu wa kuaminika? Mwenye ufahamu anijuze.