Karibu nikuuzie Samsung galaxy s6 edge mkuuNatafuta Samsung model yoyote, iwe na fingerprint....and not less than 32GB ROM! Budget 220k
Karibu nikuuzie Samsung galaxy s6 edge mkuu
Ina vigezo vyote ulivyotaja
Sawa!!! MjombaUkija kwenye 160 nichek anko
Sawa!!! Mjomba
Mawasiliano yakoWakuu mimi nna laptop yangu naiuza. Hiyo ni baada ya kumaliza projects nilizokua naitumia kuzifanya. Iko vizuri sana kwenye graphics, gaming na kazi nyingine zinazohitaji mashine yenye perfomance kubwa. Haina tatizo lolote. Features zake ni kama ifuatavyo;
Model: LENOVO IDEAPAD 320.
Core i5, 7th GENERATION.
RAM 8 GB, DDR4.
1000 GB (1 TB) HDD.
Total Video Graphics: 6 GB.
NVIDIA GRAPHICS, GeForce 940MX.
Dedicated: 2 GB
Display: 15.6 Inches.
High Definition (HD) Display.
Ina ports za USB 3.0 na USB Type C.
Slim Design.
Kwa sasa ina Windows 11.
Bei yake ni 900,000/= tu. Kwa sasa nipo Dar.
View attachment 1980494View attachment 1980495View attachment 1980496View attachment 1980497View attachment 1980498
Ipo hii full box nicheki tufanye biasharaAnauza Tecno camon 17 pro
Nakuja DM mkuuKaribu nikuuzie Samsung galaxy s6 edge mkuu
Ina vigezo vyote ulivyotaja
Nitumie picha zake kwa watsap 0625750755Wakuu mimi nna laptop yangu naiuza. Hiyo ni baada ya kumaliza projects nilizokua naitumia kuzifanya. Iko vizuri sana kwenye graphics, gaming na kazi nyingine zinazohitaji mashine yenye perfomance kubwa. Haina tatizo lolote. Features zake ni kama ifuatavyo;
Model: LENOVO IDEAPAD 320.
Core i5, 7th GENERATION.
RAM 8 GB, DDR4.
1000 GB (1 TB) HDD.
Total Video Graphics: 6 GB.
NVIDIA GRAPHICS, GeForce 940MX.
Dedicated: 2 GB
Display: 15.6 Inches.
High Definition (HD) Display.
Ina ports za USB 3.0 na USB Type C.
Slim Design.
Kwa sasa ina Windows 11.
Bei yake ni 900,000/= tu. Kwa sasa nipo Dar.
View attachment 1980494View attachment 1980495View attachment 1980496View attachment 1980497View attachment 1980498
Tayari nimeshakutumia mkuu, cheki whatsappNitumie picha zake kwa watsap 0625750755