mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,354
- 23,084
Mimi nataka Mi 11 itakuwa bei gani?Inafatana na mzigo mkubwa kiasi gani.Hii iliwahi kuleta shida kabla,mtu anaweka order afu mzigo ukisha fika ana kwambia ashanunua kwingine ama hela sijui next week,na hapo ndio tatizo.
So sasa hivi sharti ni unalipa 30% ya pesa ya mzigo ofisini kkoo(pysical office),then hela utamalizia mzigo wako ukifika.Hii imesaidia kutuondolea usumbufu wa mizigo inayo kosa watu wa kuchukua ikishafika.




With Good Quality Music
Arusha
Tsh 35,000/=



From kiago_store 
ANGALIZO