Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Iko namna hiyo..
Screenshot_2020-09-02-15-06-11-614_com.android.chrome.jpg
 
N
Xiaomi Redmi 8 A ya laini mbili, zote zinasoma 4G network, memory GB 64 na RAM 4 GB...inauzwa 350,000.... Ina miezi miwili.. unapewa na chaja yake... Simu iko poa kabisa.. haina tatizo lolote...ina android 10, camera mp 12 na inakaa na chaji siku mbili ikiwa data on.. Njoo inbox tuyajenge...
Nakupa 290
 
Back
Top Bottom