Wauza smartphone tukutane hapa

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Messages
5,941
Points
2,000

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2018
5,941 2,000
matapeli na wasio matapeli wote wamo,
inshu ipo jee utaangukia mikononi mwa yupi? Utamjuajee?

Cha msingi nikujarb kupunguza risk angalau kwa:

kuepuka
1.kununua simu vichochoroni

2.kutuma hela ukatarija kutumiwa simu

3.kununua simu bila kuichunguza(hua wanakuharakisha)

4.kununua simu bila kubaki na kithibitisho chochote cha aliekuuzia na mauziano.

5.Kununua simu ambayo ni nzima lkn muuzaji haitumii(offline), au mwambie aweke laini yake awasiliane na baadhi ya watu wake, akikataa kimbia

6.kununua simu hasa hizi za gharama(high ends)kwa bei chee sana au muuzaji anakuambia exchange allowed bila kuweka conditions zozote(huyu anachotoka simu imuondokee tuu, jiulize kwa nini?) kwa ufupi huyu anauzia simu tatizo sio shida(jitahd uelewe hapo)

7.kununua simu iliyobadilishwa imei,

8.kununua simu iliyo kwenye lock.
N.k n.k..

Yaani kikubwa sio kuuziwa simu fake, mbovua au nini inshu kwa sasa nikuuziwa simu ya wizi halaf wakai trace ukadakwa nayo wewee.... Aloooo utasaga menoo...nina ushahidi na hizi case sanaa, watu wanalizwa sanaaa
Simu ilobadilishwa imei unaijuaje mkuu??
 
EKM

Senior Member
Joined
Nov 16, 2017
Messages
161
Points
225

EKM

Senior Member
Joined Nov 16, 2017
161 225

asante kwa ujumbe mzuri ndugu tujitahd kufanya biashara kwa werevu..usifanye kitu chenye risk kisa umemwamin anaetaka kukuuzia.
 
stewie

Member
Joined
Sep 30, 2019
Messages
9
Points
45

stewie

Member
Joined Sep 30, 2019
9 45
NEXUS 6P SPECS.
Google Nexus 6p
Clean as New
Ram 3 Gb
Internal 32 gb
Battery 3450 mAh
Well functioning fingerprint sensor
Usb Type C
Camera kali sana (portrait mode, nightsight,4k videos)
Simu kubwa
Second hand imported
bei 290,000
nipo Sinza
piga or text 0682521021 if interested
1054932954.jpeg
1918604112.jpeg
1842849024.jpeg
 
Last KING Ontuzu

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
155
Points
250

Last KING Ontuzu

Senior Member
Joined Jul 22, 2016
155 250
Nauza simu kwa bei nafuu

Tecno W4
Ukubwa wa Kioo - Inch 5.0 chenye teknolojia ya IPS LCD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1280 pixels, 294 pixels per inch (PPI).
Mfumo wa Uendeshaji - Android 6.0 Marshmallow
Uwezo wa Processor - 1.3GHz quad-core Cortex-A53 CPU,
MediaTek MT6735 chipset.
Uwezo wa GPU - Mali-T720 GPU
Ukubwa wa Ndani - GB 16
ikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card hadi ya GB 128.
Ukubwa wa RAM - GB 1
Uwezo wa Kamera - Megapixel 8 yenye LED flash.
Uwezo wa Battery - Battery inayotoka ya Li-Ion 2500mAh battery.
Viunganishi - Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, Bluetooth 4.2, A2DP, LE pamoja na GPS ya A-GPS, USB 2.0 On-The-Go.Rangi - Inakuja kwa rangi mbili za Black, Silver.Mengineyo - Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM,
Inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
Uwezo wa Mtandao - 2G, 3G na 4G

Bei ya dukani 190,000/=
Mi nauza 100,000/= Maongezi pia.

Napatikana Dar es salaam
Piga 0784112347
IMG_20191019_143443_714.jpeg
IMG_20191019_143520_609.jpeg
 
Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
78,762
Points
2,000

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
78,762 2,000
Asante sana Mkuu kwa kutupa taadhari
matapeli na wasio matapeli wote wamo,
inshu ipo jee utaangukia mikononi mwa yupi? Utamjuajee?

Cha msingi nikujarb kupunguza risk angalau kwa:

kuepuka
1.kununua simu vichochoroni

2.kutuma hela ukatarija kutumiwa simu

3.kununua simu bila kuichunguza(hua wanakuharakisha)

4.kununua simu bila kubaki na kithibitisho chochote cha aliekuuzia na mauziano.

5.Kununua simu ambayo ni nzima lkn muuzaji haitumii(offline), au mwambie aweke laini yake awasiliane na baadhi ya watu wake, akikataa kimbia

6.kununua simu hasa hizi za gharama(high ends)kwa bei chee sana au muuzaji anakuambia exchange allowed bila kuweka conditions zozote(huyu anachotoka simu imuondokee tuu, jiulize kwa nini?) kwa ufupi huyu anauzia simu tatizo sio shida(jitahd uelewe hapo)

7.kununua simu iliyobadilishwa imei,

8.kununua simu iliyo kwenye lock.
N.k n.k..

Yaani kikubwa sio kuuziwa simu fake, mbovua au nini inshu kwa sasa nikuuziwa simu ya wizi halaf wakai trace ukadakwa nayo wewee.... Aloooo utasaga menoo...nina ushahidi na hizi case sanaa, watu wanalizwa sanaaa
 
Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
433
Points
500

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
433 500

Forum statistics

Threads 1,344,909
Members 516,083
Posts 32,839,537
Top