Wauza smartphone tukutane hapa

Sasa hiz ambazo ni za kweli ntazipata wapi mana kuna ufaham nataka nijitoe ndy mana naulizia kabla ya.....hlf na bei yake mana hiyo niliyopost S9 plus wanauza 1.45M na wengn nimechek wanauza 1.35M

Mkuu vipi ulifanikiwa kupata s9+ kwa bei gani inasimama kwa sasa...?
 
Mwenye Tecno CX Anicheki PM
Location Mbeya
Price range :190K - 170K
Iwe kwenye hali nzuri
Uje na picha zake tuyajenge
 
Genuine iPhones unazifahamu vipi, naomba mwenye uelewa hapa anijuze.
 
Wauzaji waliopo mwanza, nahitaji simu mbili mpya moja ni Samsung A10 na nyingingine Samsung A2 core. Bajeti yanngu ni 480,000 cash.
 
Huawei y9
64 GB

450,000 Tsh tu
IMG-20190727-WA0012.jpeg
IMG-20190727-WA0010.jpeg
IMG-20190727-WA0008.jpeg
IMG-20190727-WA0016.jpeg
IMG-20190727-WA0014.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom