Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Jamani mwenye kuuza kioo cha ndani cha Samsung note two GT 7100 I mean display na n sh ngap
 
Nauza Tecno Boom J7 nayo inauzwa wasiliana na mimi kupitia pm nipo dodoma
 
ona picha
 

Attachments

  • 1447488799812.jpg
    1447488799812.jpg
    24.7 KB · Views: 255
Nahitaji nokia N8 iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo anipigie 0767544340
 
Bajet ya 180k ntapata sim gan nzuri sitak used
 
Mambo zenu wadau kitu chasumsung
galaxy note 3 original na box lake,
imetumika kwa miezi 9, iko katika hali nzuri
na haina tatizo lolote
INTERNAL MEMORY : 64 GB
RAM: 3gb
CAMERA:13mp
Android 4.3 jelly bean
BEI: tsh. Laki 5 na nusu (tsh 550,000)
LOCATION: Dar Es Salaam (kigamboni)
Call: 0718295182
0713922557
Ahsante
Jigo
12208734_711312365635645_8600554226683608438_n.jpg
 
samsung galaxy s4 unapata cover jipyaa na protector ya kioo bureee nauza 490.000 check mi 0629267334
 
Nauza huawei ascend 530
Ni mpyaa@aaaaaaaaaa
Bei 120,000 tu
Sms,call,whatsapp 0657445777
 
Nataka Ipone 5s budget yang 500K tafadhali isiwe magumashi kwa sababu utaludi nayo.
 
TECNO H5 FOR SALE ONLY 100,000

Android 4.2 Jelly Bean

Matatizo yote ya TECNO kwenye hiyo simu nimeshaya fix

Check me 0784880345
 

Attachments

  • 1447671411460.jpg
    1447671411460.jpg
    74.6 KB · Views: 299
Natafuta tab 2 au 3 au simu ya samsung yoyt originl inayotumia lain mbili iwe katka hari nzur nipgie 0714702720
 
Back
Top Bottom