Bajet yanguu 380Kkaka ninayo samsung A 20 brand new kwenye box 400k
Bajet yanguu 380Kkaka ninayo samsung A 20 brand new kwenye box 400k
Tecno W3 ina itajika price 60k
Location. Mwanza
Upo mwanzaW3 lite nikupe kwa 70,000
Kuna oppo a7
64gb
3gb
If ur interested ni PM
0737288391View attachment 1120839View attachment 1120840
5 Used Inauzwa Bei saw na Bure haina tatzo lolote bei nchek 0766648278PichaIphone 6+ 64
340k,ina crack.
Ipo ni PMHellow..natafuta simu aina ya Xiaomi Mi 5.
Mkuu nimejaribu kuku PM inakataa..si una uhakika ni Xiaomi MI 5 yenyewe?ni mpya au used?..sio mbaya ukiniwekea picha hapa nioneIpo ni PM
Asante Mkuu..natafuta MI 5 kwa sababu haina on screen navigation keys,sipendi simu zenye on screen navigation keys kwa sababu zinakuwa hazina tofauti na TECNO kimuonekano.Ipo xiaomi mi 8 lite.